Selfika na JF: Snap it. Show it

Moses bliss ni Muumbaji wa injili
Anajua kuimba balaa .
Sasa ndo kafunga ndoa .

Anampenda huyo mkewe Hadi Raha
Walikutana online huku , huyo dada alifanya challenge ya wimbo wa jamaa . Mwisho wa siku jamaa akamdm

Ngoja patulie nisije nikashindwa kufuta mie 😅😅
Ndonani tena huko Daslamu?? Nimepitwa naile 🤳🤳 yako jamani koments zilikua nyingi afu nilikua na kazi!
Naomba rudiakomenti kutubles mamy!
 
Hatari sana 🔥
Wamependeza na kupendeza tena,wapo simple👌Hawana mambo mengi


Team natural🙌🙌🙌amenoga
Yaani ila huyu Moses ni real man
Juzi tu hapa kamvalisha Pete Leo tayari ndoa .

Bado ndoa ya dini tuone itakavyokuwa .

Hapa kuna fundisho mwanaume akikiupenda hapotezi muda .

She looks beautiful and stunning..
Hakuna Cha make up Wala nn
 
Mkuu tunataka kutibu matokeo badala ya chanzo. Vile vya hovyo ambavyo hufanywa privately ndio hampaswi kuvifanya sababu kwa namna yoyote lazima vitakuja tu hadharani
 
Wamependeza hawana Mambo mengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…