Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna kipusa aliniita Mimi ni kanjanja wakati mie nipo royal humu Wala sina shida na mtu kuhusu picha zile za Italy navyoziweka hata mwenye nazo anajua kuwa natumia picha zake maana ninachat nae dm ni mwanangu pia na juzi nimeongea nae fresh tu
Sema jamaa una hasira za taratibu sana, jambo la juzi unakuja kukasirika leo? Alafu mbona tulilimaliza hilo?

Mm ningejua vipi kuwa ulikua unatania? So mm kuja kusema umezingua kutumia pics za huyo mshikaji na kujifanya ni ww ndio umemind?
What if nisingesema, je ungekuja kusema kuwa ulikua unatania?

Sijaona sababu ya ww kuja kulirudisha tena hili leo


Anyway, I'm sorry [emoji120] na yaishe.
 
Huko unakonipeleka siko kabisaaaaaaaa kijana.
🙌🤣
Achana na ugomvi wa wamama,watakuchezea hizo nyanya mbili ndani ya suruali na mbele ya watoto ufurahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…