Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi nyie watu mko serious kweli ama mpo kwenye utani


Unajua hai-make sense eti niwe natoka na mrembo mmoja hapa, then nikamwambia huyo mrembo anitafutie mrembo mwingine niwe natoka naye.

Hivi inawezekana kweli?

Sijui lengo lenu kwenye hizi mada zenu zisizoisha humu.


Hata kama huwa tunataniana ila please naomba mniheshimu japo Kwa Umri wangu.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sema we kwa kukataa me nakupa 10/10
 
Weka video sasa mbona unapiga domo tupu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ww unajiamini ila video huweki, leo utakosa maziwa ya kumnyonyesha mtoto ujue [emoji23][emoji23][emoji23]

Mtoto ni wa nani sasa ?wa miongozo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…