Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Nkamu huyu atasema yote ww kaa kwa kutulia, sasa ww chunguza zile idβs zilizokusema kuna kitu utagunduaβ¦!!
Utaona wote wanasema watu wa aina moja na wanamsifia mtu wa aina moja ππππ
Na uzuri uduguu kakubali ana multiple id nyingi
Mimi unadhani najali basi?Yaani humu ukiingia tu humu ushasemwa mpaka basi ππ
Yeah Bora kuignore tu .
Mzee labda uli sikia vibaya, ni kweli nampenda Nuzulati Sana ππ.Lakini nakumbuka ulimueleza hivyo Siku ya kwanza π π
Yaani ulikosa ahadi zote za kumpa hadi umpe Dunia
Bora ungesema tumpe yale mashamba yetu ya Katavi π
Kuhusu sisi pa kuishi tutafanyaje sasa Wakati Kijana wetu ameamua kutufukaza kijanja......π
Eeh Bora una moyo mgumu ..Mimi unadhani najali basi?
Nitatoka nikiamua mwenyewe kutoka,wala siyo kutolewa na mtu.
Sasa wewe kwanini ujihangaishe kujibu?Yaani I wish niweze kutojibu
Kuna mda ni unasoma unabaki tu kusema , why this ??
Halafu inauma kama hujafanya kitu
Kwa ubinadamu ni ngumu kutojibu .
My sister una toa ushauri mzuri Sana, ila tatizo una mshauri asha shaurika.Sasa wewe kwanini ujihangaishe kujibu?
Wewe kama unajua kitu hujafanyaama umefanya,Achana nacho
Mungu anakuja,na siku ya hukumu utasimama mbele za Mungu,na si watu.
Hakuna unachopungukiwa...
Unamuachia tu Mungu.
Duh pole sana .Hata kwenye stori sijui niliingia vipi maana ilikuwa uzi wamefunguliana huko,ERoni alikuwa anajadiliana,nikaingizwa na mm kwenye stori from no where na matusi kibao.
Nikawaza ama ndio vitisho nilivyopewa pm wamekuja kutimiza azma yao.
Dude , you gotta a problem au vipi ??My sister una toa ushauri mzuri Sana, ila tatizo una mshauri asha shaurika.
ππππ Uduguuu kula chaki uje utupie picha tuone hipusi, leo nna muda mwingi wa kuongea na wewe, nimekuhamu sana uduguu wanguβ¦.Msifute koments zenyuuu hata moja nimalizie kula chaki kwanza!
Mchezo hauhitaji hasira huuuu !
Msisahau kuchati na picha kwawingi Uzi usifungwe jamani
Hapa hadi wapinzani wamesalute yani Pacome ninoumaaaaaaaaaaa!πππππππ
Asante sana dearSasa wewe kwanini ujihangaishe kujibu?
Wewe kama unajua kitu hujafanyaama umefanya,Achana nacho
Mungu anakuja,na siku ya hukumu utasimama mbele za Mungu,na si watu.
Hakuna unachopungukiwa...
Unamuachia tu Mungu.
DahπππππππKuna vitu ukivichunguza kwa makini utagundua mchezo mzima ulivyo wala hutosumbuka kumjua mpika maubuyu humu ππππ
Ww niliona unaambiwa ulienda kwenye pm ya kaka Sele eti π€£π€£π€£
DahπππππππKuna vitu ukivichunguza kwa makini utagundua mchezo mzima ulivyo wala hutosumbuka kumjua mpika maubuyu humu ππππ
Ww niliona unaambiwa ulienda kwenye pm ya kaka Sele eti π€£π€£π€£
Asante sana dear
Nashukuru mie kwa sababu nilikuwa sijawahi ongea hii issue ndo maana nikaja kusema
Otherwise I wouldn't say a thing .
Mie nayaacha humu .. life inaendelea huku nje .. kama ule wimbo wa good luck waache waongee tu
I mean no malice to nobody, namaanisha una pewa ushauri mzuri.Dude , you gotta a problem au vipi ??
Asante sanaRudi jukwaani maisha mengine yaendelee..hizo habari achana nazo.
Uzi ulikuwa bomba sana zamani hizo
Sijui kwanini tumeruhusu shetani atuvuruge na tukakubali kuvurugika.
Leo hauliiπHumu ndani sijui niwauze nipate tu hela? ππ mbona hamtulii lakini