Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muache udugu wangu bana, leo kashinda hana raha kabisaaa….
Sio udugu yule niliyemzoea, nahisi usiku kalala ananisonya sana….
Basi mkae myamalize, mm pia nampenda sana na anajua [emoji23]
 
Unaita watu wakusaidie kwenye nn?[emoji23]
 
Basi mkae myamalize, mm pia nampenda sana na anajua [emoji23]
Tatizo udugu mbishi, hataki tuyamalize anaendelea kuja na id nyingine kunitajia habari alizosemaga za kale za UTI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wenzake mkubwa akivuliwa nguo anachutama, yeye ankimbia na anajua hajanyoa vuziii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œ
 
Unaita watu wakusaidie kwenye nn?[emoji23]
Kumbe jana hujaona?? Kuna comment kasema naita watu ikabidi nicheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nishawahi kuita mtu anisaidie kweli??
Itakuwa kapitiwa kasahau anavyokuja na zile id zake lukuki, mi nagombanaga mpk napewa ban peke yangu….πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mimi nimuogope nani humu ambaye ananijua labda?? Nikikusifia nakusifia kwa id hii, na nikikuponda nakuponda na id hii
 
[emoji23][emoji23]alikua labda anatania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…