Selfika na JF: Snap it. Show it

Kantry najua umetulia unashusha essay yako, naomba acha kusema mambo yangu….
Nitayasimulia mwenyewe kwa muda ninaotaka, nakufahamu friji lako bovu….
Acha kunigombanisha na uduguu wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Udugu hebu acha shem atuambie ukweli maana humu kila leo ni ugomvi walimwengu tunataka kufahamu shida imeanzia wapi?
Maana mimi naweza dhani Lamomy ni mkorofi kumbe umechokozwa huko pm 🀨
 
[emoji23][emoji23] mnajuana nyie
 
Udugu hebu acha shem atuambie ukweli maana humu kila leo ni ugomvi walimwengu tunataka kufahamu shida imeanzia wapi?
Maana mimi naweza dhani Lamomy ni mkorofi kumbe umechokozwa huko pm 🀨
Akwambie yeye anajua tuliyoyaongea na udugu wangu?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uduguu wala hajanikwaza kivileee mpk tufikie huko, ila akiendelea kuleta uchizi ndo nitampa za chembe
 
Kweli bana sio vyema tustiliane ikibidi hapo udugu nakupa pongezi πŸ‘πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…