Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Sinywi bia, wala sivuti sigara bro.Njoo tunywe bia kaka
Kahudumie ndoa kwanza ππππYaani sijaielewa ile comment yako ujue ina maana πππ
Hapa naomba ufafanuzi ko mlikuwadiana ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈUduguu wangu nampenda sana alinitafutia hadi babu wa kutoka naye humu π€£π€£π€£
Udugruuuu ana mambo, halafu yule babu wa kwake sasa sijui alitaka kugindua nini.??
Kasafiri huu ni wakati wangu kupata ubuyuππKahudumie ndoa kwanza ππππ
Duh alikutafutia babu gan tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Antonia uduguu wangu mi nampenda ndiomana namchana live na hata akinifurahisha nampamba live, halafu mi sio mnafiki namwambia ukweliβ¦.
Hata km ataumia ila ukweli kaupata, hata mimi nikizingua yy anichane ila kwa id yake halisi sio zile za michongoβ¦..
Ukitaka ujumbe ufike vzr we mchane uduguu wako kwa id yako halisiβ¦.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu wangu nampenda sana alinitafutia hadi babu wa kutoka naye humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Udugruuuu ana mambo, halafu yule babu wa kwake sasa sijui alitaka kugindua nini.??[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
ππππ Nuzu mimi nipo na uduguu wangu jamani, uduguu ananipenda ww mpk muda huu bado nashangaa kwann alinifanyia vile??Hapa naomba ufafanuzi ko mlikuwadiana ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈ
ππππ UtasutwaKasafiri huu ni wakati wangu kupata ubuyuππ
Tena alinambia nisikwambie, hebu tuache na uduguu wangu ππππDuh alikutafutia babu gan tena?
ππππ Nitamgeuza punching bag mi balozi akaulize Panda hill wampe taarifa zangu
Kwani ilikuwaje mpaka mkagombana na udugu wako,Watu wabaya sana mna wivu na penzi lao au kuna mengineππππππ Nuzu mimi nipo na uduguu wangu jamani, uduguu ananipenda ww mpk muda huu bado nashangaa kwann alinifanyia vile??
Anyway labda shetani alimpitia, mi bado nampenda
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo rafiki yangu Antonnia alikua ananizunguka? Ni Babu gan?Tena alinambia nisikwambie, hebu tuache na uduguu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marafiki waki gombana, njoo Mimi na wewe tuenzi huba letu.Kasafiri huu ni wakati wangu kupata ubuyuππ
Mimi kusutwa siwezi maana zaidi ya kuyasoma jukwaani huko pm sihusiki na sipendeleiπππππππ Utasutwa
Hapo kwa babu inabidi uambiwe shemππ[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo rafiki yangu Antonnia alikua ananizunguka? Ni Babu gan?
Nkamu tulia kwanza, vipi disco la kule chengula hall vibe lake?!! ππππPandahill ulimtwanga nani?π€£
Father Nyaisonga alikuacha kweli bila suspension?
Kwa kweli ngoja ninyonyeshe kwanzaππMarafiki waki gombana, njoo Mimi na wewe tuenzi huba letu.
πUsije umbuka, ohhπ€π€π
Na uduguu wangu hatujagombana tuko salama kabisaa ππππKwani ilikuwaje mpaka mkagombana na udugu wako,Watu wabaya sana mna wivu na penzi lao au kuna mengineππ
πππππ HatareeeMimi kusutwa siwezi maana zaidi ya kuyasoma jukwaani huko pm sihusiki na sipendeleiπππ
ππππ Unachochea motoHapo kwa babu inabidi uambiwe shemππ
Jambo jema kama ni hivyo, hebu nambie ni babu yupi ulikuwadiwa?ππNa uduguu wangu hatujagombana tuko salama kabisaa ππππ