Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani humu wachawi kote kote
Siikumbuki nishahau na kufuta

Ila vichambo haswa
Ila hao watu dah πŸ˜‚πŸ˜‚

Yeah ni Bora mfunge wote na kukaza na hakuna kufungua hata iweje .

Muwe mnaongea kwa pamoja .

Uaminifu pia .
Humu kuna wachawi, km huna roho ya paka unatema ndoano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila JF kuna mtu unamuona shosti huwezi amini anachat piem na mpz wako na wanakuteta kabisaaa!!!
 
Humu kuna wachawi, km huna roho ya paka unatema ndoano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila JF kuna mtu unamuona shosti huwezi amini anachat piem na mpz wako na wanakuteta kabisaaa!!!
Basi humu ndani Kuna kunafikiana sana ..
Urafiki wa mchongo , mahusiano ndo kabisa .

Yaani watu ni Wana wivu hatariiiiii
 
Bhana Coca
Nilimpenda sana , na kumuamini sana ni hayo tu ..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ujinga pia wa kuamini watu .
Lazima kina kitu kilikuvutia haswaa kwake, ndo ukampenda sanaaa, ni kipii hicho hebu tujuze plz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi humu ndani Kuna kunafikiana sana ..
Urafiki wa mchongo , mahusiano ndo kabisa .

Yaani watu ni Wana wivu hatariiiiii
Humu hakuna urafiki kila siku mimi nasema, humu ni kwa kukaa kwa password πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nna ushahidi kabisa bro mmoja kapiga mtu na shogaake na bi mkubwa hajui
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Toleo jipya sio shida zako, unakunjwa na unakunjika
Haswaaaaaa, tena mlainiiii, mlenda unasubirii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu hakuna urafiki kila siku mimi nasema, humu ni kwa kukaa kwa password πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nna ushahidi kabisa bro mmoja kapiga mtu na shogaake na bi mkubwa hajui
Hivi humu mtu anapata wapi ujasiri kukwambia ana kupenda bila kusahau kukwambia uko peke yako 😁😁😁😁

Mtu mmoja ambaye anauwezo wa kumiliki ID hata mia😁😁😁😁
 
Lazima kina kitu kilikuvutia haswaa kwake, ndo ukampenda sanaaa, ni kipii hicho hebu tujuze plz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anajua kujali sana
Anaonyesha upendo
He's sweet balaa
Genius
Protective
Anakupa muda wake hii ndo kazidi
Anatamani kukuinua kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…