Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa hamjafichana na mkaamua kuonesha watu wa JF, kilichokukuta ni kipiii? Had umekimbia I'd yako ya mwanzo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafa mchezo na JF eeeh??
I'd siitaki tu dear
Sina hata access nayo .

Kukiwa na maneno , upendo haipo
Shetwani aliingilia kati ..

He's a great guy haswa ....
 
Unapiga kwenye mshonoo mwayaaa, em twende taratibuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima tuseme ukweli tumechoka na kelele zisizo isha humu😁😁😁😁
 
Yaani humu mbona watu wengi wameachana na members wengi walifahamu ila amani imetawala why hawa wengine shida ni nini?Akili kichwani 😁😁😁
We selemani wee selee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sele ana vikorombwezo vingi tatizo
 
Muda mwingine maneno ya nje yanakatisha tamaa
Alfu si una penzi ni two way .. mmoja akichoka hamna Tena upendo .

Ila yote yanatokea kwa sababu
Ila kama haijapangwa kuwa haitokuja kutokea .
Nataka nikwambie ukweli mapenzi ya kweli hayatetekeshwi kwa Maneno ya waja yaani kama mliachana kwa Maneno ya humu wote hamkuwa tayari kuanza safari ya mahusiano.
 
Sasa tuonane wapi wakti mie nipo dar yeye huko mkoani .

Nimemaanisha hao watu wanaenda kuharibu couple wanasema huyo demu ni mhuni.

Kama mm niliambiwa nimetoka na wanaume wengi humu selfika .

Kwa hiyo lengo kuu ni kukuharibia .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee DA tin, mwanaume yuko mkoa, wee uko mjini, unampaje [emoji360]za Jf, yaan alikufanyia nn kikubwa ukaona ulipe fadhira kwa kumpa Access ya kujua kila kitu kukuhusu?

Ngachokaaa mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna page kachana Tin πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu humu ushindwe wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaani wamejaa telee, Pa1 na kuwa toleo jipyaa, bado sikosi wa kunikunja 7, sasa maroboti ya JF mie ya nn??

Sio shida zangu kabisaaa.
 
Bhana Coca
Nilimpenda sana , na kumuamini sana ni hayo tu ..

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ujinga pia wa kuamini watu .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaani wamejaa telee, Pa1 na kuwa toleo jipyaa, bado sikosi wa kunikunja 7, sasa maroboti ya JF mie ya nn??

Sio shida zangu kabisaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Toleo jipya sio shida zako, unakunjwa na unakunjika
 
Nilichambwa huko hatari [emoji28][emoji28]
Ukiona screenshot unasema hii

Wengine pia sijui ke , nishasahau nilivyoambiwa huko [emoji23][emoji23]
Mbona wee ndo ulikua unananga na kuchamba wenzio,
Sasa inakuajee tenaa? Mnatuchanganyaa ujue?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walikuchambaje mahi? 😜
Kwahiyo walikuwa wanamtaka huyo bwana??
Kwanini uliruhusu hayo? Humu mkiwa wapenzi na mnamaanisha wote fungeni pm zenu
Yaani humu wachawi kote kote
Siikumbuki nishahau na kufuta

Ila vichambo haswa
Ila hao watu dah πŸ˜‚πŸ˜‚

Yeah ni Bora mfunge wote na kukaza na hakuna kufungua hata iweje .

Muwe mnaongea kwa pamoja .

Uaminifu pia .
 
Bhana Coca
Nilimpenda sana , na kumuamini sana ni hayo tu ..

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ujinga pia wa kuamini watu .
Si useme na papa alikula kwani shida iko wapi Tin?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona wee ndo ulikua unananga na kuchamba wenzio,
Sasa inakuajee tenaa? Mnatuchanganyaa ujue?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Yaani unaonyeshwa sms unavyochambwa ila humu ni kusemana .com
 
I'd siitaki tu dear
Sina hata access nayo .

Kukiwa na maneno , upendo haipo
Shetwani aliingilia kati ..

He's a great guy haswa ....
Yupiiii huyooo? rab au wa sate sauzand? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Great guy haswaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…