Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ndo hawajui washike lipiii, km ni demu au shogaaa, nabadilika kutokana na angle husika.

Afu nawaachia wao waamue waishi na lipiiiii.
 
Kumbe aisee Mimi hata sijui kama aliwajbu huko pm .

Nilimpa eeh niliona watu wanasimanga sana huko pm kisa nipo nae .

Ila Jf [emoji23] wasione couple ni wataleta maneno weh Hadi couple ife ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko Rab alikukula DA tin? Maana ysye alikataaa hakukula, na hakukutaka ila wee ndo ulikua unajilengesha kwake akukulee, je ni kweliii?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe aisee Mimi hata sijui kama aliwajbu huko pm .

Nilimpa eeh niliona watu wanasimanga sana huko pm kisa nipo nae .

Ila Jf πŸ˜‚ wasione couple ni wataleta maneno weh Hadi couple ife ..
Oyooooo!! Kumbe kaka Rab alikula Tin πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa kwann alikuwa anakuponda vile?? Au wivu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tin endelea kumbe couple yako haikupendwa?? Maskini mwenyewe jamaniβ€¦πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­ nimelia sana
Kwahiyo bro sungura mzigo kala?? Na wote mlikojoa??
 
Aikoooooo!! Nakinga maji ya mvua muda huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aikoooooo! Nilitelekeza fekero langu kisengerema baada ya kufanya blunder ya kujuana na simbilisi wa humu. But not this timeee 🀣 🀣 🀣 nakinga maji hapa Dongobesh
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa kwann umesema β€œkitakuwa kenyewe, mana kilikuwa na mambo mengi” na inasemekana uliwachamba eti 😜
Uwii nimecheka jamani
Unanitafutia dhambi mm πŸ˜…πŸ˜…

Kuna Moja alipiga simu na kuniambia niingie online niweke vitu clear aisee

ndugu yangu alimchamba hatari halafu mie nikamjibu na kizungu sijui .
 
Yaani hapo unashangaa la mwenzako hiyoo imoo [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km umeshazoea heka heka unaona zereu tyuuh, afu unaswampaaa km kauwaaaaa.

Hakuna kulengendeka, ni mbele mbelee hyooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko Rab alikukula DA tin? Maana ysye alikataaa hakukula, na hakukutaka ila wee ndo ulikua unajilengesha kwake akukulee, je ni kweliii?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada una elimu ya uchonganishi 😁😁😁
 
Hivi ile crew ya kipindi kile imeenda wapi au wamechange handle?
Crew ipi? Zitajee nikufafanulieee? Ila utalipiaaa?
Umbea siku hizi ni fursa, hata Mange anaishi South California kwa ajiri ya umbeaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…