Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaaa Yani
Sasa wengine wamesingiziwa na jina langu ndo linahusika nikaona hapana Nije tu .

Yaani humu Jf ni zaidi ya kichaka kwa kweli .

Ni kuwa makini haswa lasivyo kinakuramba .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi kwa nilivyo na mdomo pata picha ndio wangenijua sasa???
Mimi ndiomana sipendi kushinda pm za mitongozo na wanaume, hawachelewi kukuleta uaibike…
Bora kina uduguu wangu pm zao ni kusimanga wake wenza na kuteta wengine 🀣🀣🀣🀣
 
Ila selfikaa ya motooo, kila siku njegeka na wahusika wake wapyaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan inahama kutoka kwa huyu na kuhamia kwa yulee.
Woiiiiiiih.
kweli hii huu uzi kila episode una star wake
 
Ila selfikaa ya motooo, kila siku njegeka na wahusika wake wapyaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan inahama kutoka kwa huyu na kuhamia kwa yulee.
Woiiiiiiih.
Humu ukiona mwenzako ananyolewa hebu malizia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
 
Kumbe alokuchafua ni Sungura
We si ndo yule ulikua unaenda MORENA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MORENA tenaaaa, mbonaa selfikaa ina maubuyuu mnooo
Sungura ni yupiiii kwan? Mambo ni mengii, mda mchachee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila selfikaa ya motooo, kila siku njegeka na wahusika wake wapyaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan inahama kutoka kwa huyu na kuhamia kwa yulee.
Woiiiiiiih.
Selfika ianze kulipiwa, ishakuwa kijiwe cha ubuyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bora hujawapa watu hiyo access
Wewe endelea kukaza
Sema hata wakiamua hawakufikii hata πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni upo vere hatari ...
Kama Kibatala eeh

Na cha ajabu UTI inalala na kuamkia huko ilipoanzia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF niliisoma kabla ya kuanza hekaheka, humu ukitaka uonekane wa hovyo wape watu access ya kujua maisha yako umekwishaaa
Unaweza kuwapa wakajua, kumbe sio uhalisia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida km utawapaa afu ni kweliiii, hapo utajutraaaaaaaaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbombo ngafuuuu.
 
Duh hatari na Mungu aliniepusha na hizo pdf [emoji23][emoji23]

Nilipokuja kuingia ni ninakuta mods wamefuta sehemu kubwa .

Sijui mimi alipata wapi ..
Alipata wapi?? Akati wee ulimpa password yako ya JF, na had watu wengine walokua wanakujia PM, alikua anawajibu yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aseee!
Sijawahi kuwa makini kusoma comments kama leo...asante usingizi kwa kukata,ningepitwa kwa hiki kidogo

Enwei,kama itawezekana naomba siku nyingine mfanye mchana jamani,ona sasa silali tena hadi mmalize πŸ€¦β€β™€οΈ

Ishu ya SATE nimetoka kapa
 
Unaweza kuwapa wakajua, kumbe sio uhalisia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida km utawapaa afu ni kweliiii, hapo utajutraaaaaaaaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbombo ngafuuuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu Tin yy alikutana nao kabisa mcity ndo kilichomponza, hiyo ya kuwapa haina ukweli unaweza kuwadanganya km mimi wanavyoniuliza unakaa wapi nawaambia bonyokwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe nimetulia mkoani huku muda huu nimetega jaba nakinga maji ya mvua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…