Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mtu mwingine nitakuulizia,ila now naingia kwa kazi,Leo nipo night shift.
 
Eeh Yani kuchanganya tu kidogo lugha

Sijabadili

This is just a temporary Id siku nikiamka nimevurugwa naitupilia mbali πŸ˜‚πŸ˜‚ .


Alafu siku hizi kingereza kingi kimetoka wapi mrembo?

Na kwa nini umebadili jina? Lile la mwanzo limekaa unyama sana kuliko hili asee!! Hili nakugananisha na kuzo wake cocastic ujue.
 
wakezangu humu hamjambo?
1.dr lizy
2.cocastc
3.nuzulati
4.mahondwaπŸ˜•
5.joannah

wapenzi wangu kilamtu aweke namba yamuamala nitume hela yasupu asubuhi sawa wapenzi wangu? haya wekeni namba basi watoto wazuri
 
Kheeeeeh shouzzzz haya tena yanakujajee? Kumbe wee na uduguuu mna hatred? Si tulikua peace kabisaa humu? Kwani imekuajeee?

Mbona mnanitishaaaa sasa? Naomba msemee mna tofauti gani nyie? Na inasababishwa na nn??

Niko tayariii kuwasuluhishaaa, hii JF mbonaa inataka kuni overtake ghaflaa hiviiii?? Kutokaa kwenye uke wenzaaa had nyie mabest? Mbona sitaki kuaminiiiii??

Duuuh JF ya motooooo, huwa nasemagaa ya humu muyaachee humu humu, kimezukaaaaa kituu kipyaa tenaaa?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mhmmm!! Uduguu yaliyopita yamepita sababu ss hivi shem karudi??
Kwahiyo nani kaharibu uzi??
Upendo wa Agape upi huo mliokuwa nao??
Uduguu wangu hebu funguka walioharibu uzi vzr be free usiogope
 
wakezangu humu hamjambo?
1.dr lizy
2.cocastc
3.nuzulati
4.mahondwa

5.joannah

wapenzi wangu kilamtu aweke namba yamuamala nitume hela yasupu asubuhi sawa wapenzi wangu? haya wekeni namba basi watoto wazuri
Wee utadisco mwaka huu, ujiandae na UE huko.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nani kakutisha?? Hebu kunywa maji kwanza utulie usimulie vzr…
Haya una shida gani?? Udugu bado hujasema hebu sasa sema..!!
 
Lemme just answer this
I'm so naive when it comes to love .
Nimemaliza
Jamaniiii jamaniiii yaan wee unafall in love mazimaa,
Unazamaaa yote yotee,

Daaah wee tin vibayaa hvyooo, ko ulidondokea haswaa kwa Rab? Woiiiiiiih
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Weee kumbe??
Sema nini mimi kila mtu best yangu, sina permanent best naomba tuelewane huyo ni shogaako ww mpk na pesa mlikuwa mnaombana
 
Jamaniiii jamaniiii yaan wee unafall in love mazimaa,
Unazamaaa yote yotee,

Daaah wee tin vibayaa hvyooo, ko ulidondokea haswaa kwa Rab? Woiiiiiiih
Hehee hebu niache mie coca
Ni ujinga na utoto nilifanya .

I'm so naive ,yaani nafall mazima
Ujinga mkubwa huu na namuamini mtu mpaka basi ..
 
Msije toana roho tu 😁😁😁
 
Moyo wapi mtu anakublem kwa vitu ambavo hata huelewi source yake. Unakaa kimya kuepusha shetani apite anakuona ndezii kwamba unamuogopa ni upuuzi asee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…