Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee hahaa ni balaa unavyojua kukanda .

Hapana Mimi si mzuri bhana , Kuna visu wapo humu ndani wa maana huwezi nifaanisha nao .

Wakina boss lady na sio mm

Mimi ni ile grade ya mwisho , tunamshukuru Muumbaji basi .

Mimi sio mchunaji bhana , kwanza hakuna thirty wala nn πŸ˜‚πŸ˜‚.

Laiti ungejua siwezi hata kuomba hela mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hadi nibanwe haswa .
 
Oyooooooo!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila Tin sijui kwann ulikaa kimya wakati hizi mbanga unaziweza vzr tyuu!!
Ww na vibabu mpk wakutoe roho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akhuu Mimi Niko na vijana sema wasumbufu tunaendana hivyo hivyo .

Wazeee mie siwawezi kwa kweli .
Yani mtu kama baba yako .. hapana na nimekoma .

Niliona hiyo meme nikakumbuka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo ndo hata sub pale benchi asikae, [emoji23][emoji23][emoji23]
Atachomesha team.
 
Tin alifeli sana hapa, penzi la kijana lilimzidia akawauza vibabu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kijana Rab alipiga shuti kali mpk nyavu za upande wa vibabu zilitikisika sana, hasa yule Elon Musk alipigwa tobo mpk akazimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaa nusu niangushe cm wallah.
Baadae niko kwenye [emoji343] nikisikiliza utangazaji wako wa match.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu zinauma hapa.
Mkurya wa darisalama, famchezo nn.
 
Oyooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Tin sijui kwann ulikaa kimya wakati hizi mbanga unaziweza vzr tyuu!!
Ww na vibabu mpk wakutoe roho [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepitwaaaa. Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo ni uongo kuwa mjep hakukupa sate sauzand? Na jee hotel /room aliyofikia hukuingia? Je siku ya 2 hukurudi kumsaidia kuchagua vyomboo?

Tujuzee DA tin tafadhariiiii,
 
Mabingwa wa dunia ndo tunaanza sherehe sasa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
YNWAπŸ”₯

Depal , Poker
Kombe liwashinde,na chupa mshindwe kunyanyua?

Ya nini Mteseke roho?
Jiunge nami mpooze koo
Aki hii wiki imeisha kimajonzi sana mosi yanga kafuzu robo, pili liverkuku kachukua ubingwa, tatu simba tumedraw na mwisho mwanitesa united kafungwa. Nimpe pole Depal kwa kipigo kingine. Na nikupe hongera wewe Saint Anne hope jana ulimsusia yote Wigelekelo πŸ˜‚
 
Akhuu Mimi Niko na vijana sema wasumbufu tunaendana hivyo hivyo .

Wazeee mie siwawezi kwa kweli .
Yani mtu kama baba yako .. hapana na nimekoma .

Niliona hiyo meme nikakumbuka πŸ˜‚πŸ˜‚
Selfie yako imenipita jamani. Sema uwe makini sasa Ndumilakuwili ndio tumejaa humu mtu anakuchekea kukutease then anaenda upande wa pili anayamwaga yote mlioongea huko nako anayachota kukuletea wahivo ni zaidi ya hatari
Kuna Watu kutwa kuhaha pm kuulizia taarifa za watu ili azipeleke vizuri ili ku create enmity wapate cha kujadili take care !
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo ni uongo kuwa mjep hakukupa sate sauzand? Na jee hotel /room aliyofikia hukuingia? Je siku ya 2 hukurudi kumsaidia kuchagua vyomboo?

Tujuzee DA tin tafadhariiiii,
Hapana sikwenda na sikurudi siku siku ya pili .
Hiyo thirty ni alinipa tu mkaka wa watu .
Kama ya usafiri ..

Just to clear the issue
Hakuna la zaidi .
 
Asante sana nashukuru sana kipenzi
I appreciate your advice too .

Inatakiwa umaskini sana humu
Unaweza kutumika vibaya bila kujua .

Pia wale wanasema vibaya wenzao huko pm . Ila Jf ni πŸ”₯


πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Hapana sikwenda na sikurudi siku siku ya pili .
Hiyo thirty ni alinipa tu mkaka wa watu .
Kama ya usafiri ..

Just to clear the issue
Hakuna la zaidi .
Watu hawatakuelewa hata usijichoshe ku clear air Ndiokwanza unawapa airtime ya kukuchafua na kukudhalilisha my dear huwajui vizuri nakwambia!

Tuendelee kuselfika tu achana na kujianika Tin. Anajisemeaga Smart911 Yagangwe yajayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…