Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msikilize shem nawee, huenda ukajua na vingine pia, acha paparaa dyadyaa.

Tin akuje ni yuko full package, afu mpolee na mtulivu.
Shape, shingo, unywelee, jicho, lips,

Sijui kwann alimpa mtu access ya kuchezea acc ake, yaan ilikuaje had ampe. Nawazaa hapa ngachokaaa
 
Hahaha πŸ˜‚ wewe dada
Poleni kwa ban aisee kama wewe yako ilikuwa ndefu sana .

Mimi Nina sura ya kawaida sana na sio pini hata ..
Sura ya baba , si unajua wakuria tulivyo weus na sura za baba .
 
Udugu kuna sehemu naenda ila usiku hii mechi inaendelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ole mtu nikimtaja hapa anune
Vibabu vinapeana pasi bila choyo ila vijana wanabania pasi ndiomana wanashambuliwa sana…!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana wanakua wachoyo wa pasi, kila m1 anataka kuwa star wa team, bas wanaishia kufungwaa na vibabuu migas. Woiiiiiih
 
πŸ˜‚ msitutishe kwanza vinatumia vieite/viagra
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mshaanza kupanic vijana
Nasemaje hii mechi bado sana, tafuteni mbinu ya kupindua meza ila vibabu vimejipanga nawaambia oohh!!
Tena ww kipindi cha pili nitamwambia kocha akutoe amuingize mshamba_hachekwi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eeh makubwa. πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi wa kawaida Coca sina lolote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana wanakua wachoyo wa pasi, kila m1 anataka kuwa star wa team, bas wanaishia kufungwaa na vibabuu migas. Woiiiiiih
Vijana wachoyo sana namuona pale Miongozo anabania sana pasi, anataka magoli yote afunge peke yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Udugu ngoja nikafanye kazi kwanza
 
Tin alifeli sana hapa, penzi la kijana lilimzidia akawauza vibabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa kijana Rab alipiga shuti kali mpk nyavu za upande wa vibabu zilitikisika sana, hasa yule Elon Musk alipigwa tobo mpk akazimia
 
Hahaha πŸ˜‚ wewe dada
Poleni kwa ban aisee kama wewe yako ilikuwa ndefu sana .

Mimi Nina sura ya kawaida sana na sio pini hata ..
Sura ya baba , si unajua wakuria tulivyo weus na sura za baba .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ilikuwa ndefu mpk wakanifanyia figisu wakajua watanikomoa, kumbe ndio kwanza nakuja kuwakausha vizazi vzr….
Wanaishia kuja na id nyingine kunisema na bado nawakanda na hizo hizo id’s zao wanazojifichia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tin ww ni mzuri nakwambia hapa selfika nzima, atakayebisha aweke pic tuone…
Wakurya wazuri sana, sema shoga angu kuchuna kakufundisha nani?? Mana umevipiga visate sauzandi 😜
Wakurya mbona sio wachunaji au umechukua kwa mama?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…