Narudi nyumbani narudi kwenye shida ya umeme narudi mahali kwenye joto kalii sana narudi home kigamboni nimefika moroco hapa nasubiria Turkish airlines inipeleke bongo moya kwa moya 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 View attachment 2916450
Narudi nyumbani narudi kwenye shida ya umeme narudi mahali kwenye joto kalii sana narudi home kigamboni nimefika moroco hapa nasubiria Turkish airlines inipeleke bongo moya kwa moya