Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,182
- 55,310
😄😄Wazee wa humu kumbe wanatoa 30k? Na wadada wanaona market value yao ndo hyo🤣🤣ngastuka😂😂😂 Vijana huyu beki kawauza inaonekana kakata tamaa, vibabu vinaendelea kujiokotea point za buree na mabinti wamegoma kupewa afu tatu…. Namuona kijana kaachia goli babu afunge goaaaaaaalllll
Vibabu 2-Vijana 0
Haya mpira unaendelea Half american anatoa pasi ya 5k naona babu Grahams anaizuia kwa 20k fasta…. Namna gani paleeeee 😂😂😂😂
😂😂😂😂 Vijana wanazidi kuelemewa pambano bado ni kali sana….Ooh safi sana
Wazee tuwaheshimu tu inatosha ..
Vijana japo wasumbufu tuwavumilie tu ..
Ngoja nikalale mpira utaendelea kesho mtangazaji anaenda kuhudumia ndoa 😂😂😂😂😄😄Wazee wa humu kumbe wanatoa 30k? Na wadada wanaona market value yao ndo hyo🤣🤣ngastuka
Mpe heshima yake Charles kilian ana ududu mwingi sana pale Mererani hyo nakuibia tu siri😂😂😂😂 Vijana wanazidi kuelemewa pambano bado ni kali sana….
Binti kaamua kuwapa ushindi vibabu, haya namuona huyu kijana shabiki wa Fally Ipupa Charles kilian anamwaga kwacha za Zambia km 200 hunded sawa na elfu 20 na kitu hivi ya kitanzania….. anataka kuokoa goli upande wa vijana….. hebu subiri tuone km atafanikiwa 😂😂😂😂
Mechi bado inaendelea ila vijana wako hoi
Si nimeona anaenda kudance wap sijuiNgoja nikalale mpira utaendelea kesho mtangazaji anaenda kuhudumia ndoa 😂😂😂😂
😂😂😂😂 Bado sijarudi[emoji23][emoji23]kwamba dukani ndio basi tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kitu, nimechekaa had baas.Udugu wangu mkaree, mzuri halafu huringi wala nini?? Ndiomana Boss wa voucha anasuuza rungu uko lkn anarudi kwa bi mkubwa…. Anajua wangoni visu [emoji7][emoji7][emoji7]
Pua nzuri hiyo mbona, lips mashallah!!
Awwww kunogile udugu [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Subiri tuone km ataokoa team, naona kwa mbali Mjep anakuja na fuko la vocha km za laki tano anamwagia warembo 😍😍😍😍Mpe heshima yake Charles kilian ana ududu mwingi sana pale Mererani hyo nakuibia tu siri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas. Udugu una nn wee lakini??[emoji23][emoji23][emoji23] Subiri Tin atupe list ya wazee wa sate nikupasie, huenda kuna wengine hatuwajui..!!
Ila Tin huna baya ww wakileta visate vyao vitafune, mipapa wakale kwa wake zao [emoji12]
Treeeeenaah 👌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kitu, nimechekaa had baas.
Udugu huwa naringa huko mtaani, hapa JF niwaringie maroboti na vibabu miga? Wee kuwezaaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu atambeee na chakeee, wee ukipewa hiki, mwenzio anapewa kilee, tatizo watu wivuuu tyuuh.
Thubutuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawezi kukimbia bana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ids mpya siziamini kabisa sijui kwanini!!Greetings to you all
Ladies , I appreciate your concern and grateful for the advice .
Thank you so much .
I can say Nina ka moyo mwepesi ..
Sidhani hata Nina nguvu za kurudi humu .
I'm just so gullible ..
Lovelovie
Mahondaw
@ lamomy
cocastic I'm sorry lakini sijakusema .
Samahani kwa yote .
Na pia sina shida kabisa na wewe na siwezi kukuonea wivu . Maana hata sikufahamu .
Kwa wale wadada wote inavyosemekana nimewachamba naomba radhi ..
Tins ....
Jaman cazeee niko hapa vereee, wee ndo ulipoteaa eti?Ninasinzia nikikuwaza wewe mtoto wa shangaz,,Ulikuwa wap wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kwann lakiniii.[emoji23][emoji23][emoji23] Kweli mtoto mkaree..
Ww rangi huioni hiyo..!!
Vipi kaka mshipa wa ngiri haujashtuka??
Mtoto ana viwango vya kimataifa huyo ooh!!
Sio ile mi kina Asha jibwa ya vingunguti [emoji12]
Nakuleteaaa cazeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niletee hicho ulichonacho nkuchungulie
Hizo code zetu huwezi kuzijua 😂😂😂Si nimeona anaenda kudance wap sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanakiss kwa satee sauzand? Wallah nirudi kwa mganga, mbona mie nakiss kwa harufu ya perfume tyuuh. WoiiiiihAcha uoga Tin rudi bana [emoji8][emoji8][emoji8]
Mwenye jeiefu Max wengine wote wapangaji, hakuna kuogopa ww rudi…
Ningekuwa mimi ndio ww nawataja wote wanaotoa sate, na niliowananga nao wote nawananga live wajione… mwenye uchungu tuchambane. Mbwai mbwai hakuna kusurrender 🥷[emoji2536][emoji1733][emoji378]
Kwahiyo yule babu kweli alikukiss kwa sate kwenye rahumu, sijui inaandikwa hivo… hivi vi baby walker navyo vina majina magumu… aaarrrggggghhh maboss wa sate badilisheni magari mnatupa shida wambea kuyaandika, vichwa vinauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii mie sitakiii, aaaahNakazia shem aseme ukweli
Tushamzuia coca mara nyingi kubeba mabegi aondoke kwasababu yake [emoji12]
Km nn etiii? Emu muachee huko shem wako.Coca shemeji ana mustach km komba maviii [emoji23][emoji23][emoji23]