Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena anakung'oa na meno
🀣🀣🀣🀣 Tin mlokole hana hizo shostizo wangu bana, halafu mi nachangamsha genge hapa….
Yule binti Sayuni hizi mbungi zetu haziwezi kabisaaa…!!
 
🀣🀣🀣🀣 Tin mlokole hana hizo shostizo wangu bana, halafu mi nachangamsha genge hapa….
Yule binti Sayuni hizi mbungi zetu haziwezi kabisaaa…!!
Sawa alafu ww ni muongo ukanambia jana utaselfika lkn hola.
Selfika sa hv tumalizaneπŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄
 
Dah!

Hivyo viganja vitaweza kweli kushika hizo handles hata kama una gloves...

Hakuna sehemu baridi inachapa kama kwenye pua, masikio, vidole vya mikono na miguu (sehemu damu ipo kwa uchache na hakuna mafuta mwili)
Mzee lazim nitoke nje na jacket kubwa na gloves heavy na a benie maana bila hivyo sitoboi🚴
 
Kabisa arudi maneno kawaida bana, Tin rudi shosti ila punguza kuwajua watu nje ya JF uenjoy life la humu 😘😘😘
 
Sawa alafu ww ni muongo ukanambia jana utaselfika lkn hola.
Selfika sa hv tumalizaneπŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄
Tulia hapo hapo usitoke mahi
Napita naked πŸ§β€β™€οΈ
 
Niko hapa njia panda ya segerea kwenda majumba 6.
Sasa usitoke kaa hapo hapo, kijora cha sale ya kufatia vyombo si unacho??
Mwambie Mjep akupe risiti mengine atuachie tunamaliza wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…