Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ungejimix akujue uone balaa lake sasa!!
Angekuleta wima wima nakwambia na ungenangwa zaidi ya ulivyonangwa.!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Humu ni kuishi bila kujuana wakeshe wanahangaika kukutafuta, hii kujuana imeleta shida sanaaa.!! Mtu anakuchambua km ana kadi lako la clinic dadeq..!!
Hawa watu wanaojifanya wapole humu ni waongo sijapata kuona, kwanza wana id’s zao za kuchamba tofauti na walizozoeleka.!!
Wanapenda kuonekana wastaarabu kumbe wapuuzi afu tunawachora, tunawacheka hihiiiiiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakinga hawataki longo longo, Pesa isome cash, maghorofa ya kariakoo hayajengwi kwa mbegeee.
Wachagaa watulizaneee kwan, watemee pesa hizo
Oyoooooooo!! Kantry umesikia??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya mkanywe mbege, huku ulikoingia siko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coca niwaacheeee puliiiiiizzzzz
Nimecheka mpk machozi..!! Eti niniiiiii?!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajee harusiii tunayooo.
Uchumba suguuu mwsho FB na insta,

JF tunataka ndoaaa, harusiiii ipooooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakinga hawataki longo longo, Pesa isome cash, maghorofa ya kariakoo hayajengwi kwa mbegeee.
Wachagaa watulizaneee kwan, watemee pesa hizo
Huyo kumpa pesa ni sawa na kuchota maji kwenye pipa na kumwaga baharini

Namaanisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajee harusiii tunayooo.
Uchumba suguuu mwsho FB na insta,

JF tunataka ndoaaa, harusiiii ipooooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ariririiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ukipandisha kitonga ujue mikoa ya uko wote hatukalishwi uchumba sugu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyanda za juu sisi ni ndoa tyuuu!!
 
[emoji23][emoji23]
 
Ww jf yote tulikushindwa hadi mm mbishi nilinyoosha mikono, huyo mmoja hataweza[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem nimechekaaa, sahivi nimeamua kutulia, ila wakati ulee, nlkua navurugana na watu, bas ntatumia pc, ntaona nachelewa kutype nahamia kwa cm had inapata motooo, narud kwa Pc .

Najionaa nimepoaa wallah, na ukubwa unachangiaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…