Selfika na JF: Snap it. Show it

Na forest mpya ni kwa wa kishua kweli maana kule ukipita kuko kimya kila mtu na geti lake hadi unaogopa kama unatembea usiku peke yako,, sisi huku kwetu forest ya zamani uswahilini tu kelele kama zote..
Huku forest ya zamani kulikuwa kwa kishua zamani.
Siku hizi hakuna tofauti Sana na mabatini tu
 
Sasa mwenzetu Heaven Sent anaishi kwa wa kishua kule,, sisi huku tunachojivunia ni benki kuu, mahakama kuu, chuo cha mzumbe na shule ya st francis ndiyo vinatuheshimisha watu wa forest ya zamani ila nyumba mamamama nzuri zinahesabika..

Halafu mbona hata kule kwenu pia watu wamejenga na ni pa kishua sana ila basi tu hapa unajichetua,, yaani Mbeya mjini ilivyo ndogo sehemu za kishua zote zinajulikana na za changanyikeni zote zinajulikana wewe na H S mnaishi sehemu za kishua mno..
Huku forest ya zamani kulikuwa kwa kishua zamani.
Siku hizi hakuna tofauti Sana na mabatini tu
 
Kule kwetu kumegawanyika sehemu 2.
Kule wanakokaaa wa kishua na huku kwetu changanyikeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…