πππ mahari imemchanganya mpk anaomba ndugu wa kikeni wamsaidie!!!Mie last born wa familia ya bi harusi, wee shem hujuii hili au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] manjegeka humu hayakosiii, ni everi dei.Usitoke mdogo angu tushuhudie manjegeka km unavyosemaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππKabisaaaa umuambie huyo shem, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wetu kabisaaa,Oyooooooooo.!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Harusi tunayo, mwaka wetu huu!!
πππππ coca niwaacheeee puliiiiiizzzzzNi wetu kabisaaa,
Sasa watu wanadate humu na wanaachwa, harusi hakunaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mariooo hawatakiwiii kabisaaa, ila mama nono kachomesha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeambiwa nisikupe pesa mpk ukamilishe mahari, wakinga hawataki Marioo kwenye ukoo wao
Marioo hatuwataki kabeesaaaa ππππMariooo hawatakiwiii kabisaaa, ila mama nono kachomesha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]humjui vizuri huyo, utapigwa sound hadi uchoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atatoa bana wifi yangu ana mihela mumewe mfanyabiashara mkubwa.!!
Hapo kwa mshamba ndo hamna kitu [emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli, ubaki hivyo hivyo.Shukrani, ila ni majaaliwa ya Maulana tu cocastic...
Ww jf yote tulikushindwa hadi mm mbishi nilinyoosha mikono, huyo mmoja hataweza[emoji23]Shem em sema neno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan nikianzisha mie, Jf nzima itatikisika had jukwaa la siasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora uanzishe wakae kwenye nafasi zao.!!
Hebu anzisha, au huwezi mikwara tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mume mwenyewe tunaishi kibishiii, sasa anani nanga huko kwa wake wenzangu,
Cjui na mie nianzishe vuruguu, watu wapoteanee humuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sate sauzand inafanya mtu ajiachie kunanga mwenzieee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwaka umeuanza vibaya udugu wangu, halafu ndo kwanza tuko Febu wohiii
[emoji23][emoji23] seat yako ipo reserved tayariMie last born wa familia ya bi harusi, wee shem hujuii hili au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakinga hawataki longo longo, Pesa isome cash, maghorofa ya kariakoo hayajengwi kwa mbegeee.[emoji23][emoji23][emoji23] mahari imemchanganya mpk anaomba ndugu wa kikeni wamsaidie!!!
Alijua anaoa mchaga mwenzie kwa posa ya mgomba wa ndizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km kawaaaa, wapambe nuksi tunakua winja winjaaa kushadadiia mtifuanoooo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi kazi yetu kuwasaidia kuwapa mabomu walipuane ss hivi.!!