Afu unajua nshawahi isikilizaKompa for life.
Lala na hiyo ‘something is going on.
No comment sweetheart, haya nenda ukalale kabla sijakufukuza...
Songi la ukweli sana hili
Very sweet!🙂Songi la ukweli sana hili
Can you spin some mdundiko tracks for me?
Had to do a whole search 🤓Can you spin some mdundiko tracks for me?
😉
Mdunidko ni ngoma ya asili ya watu wa pwani huko au nimekosea?😅Had to do a whole search 🤓
Nimeweka tu mdundiko walivyosuggest songs nikasema yupp...
View attachment 2910561
Will this do...? I kinda like it.View attachment 2910562
You are right!!Hii yangu itakua contemporary mdundiko! 😁😁Mdunidko ni ngoma ya asili ya watu wa pwani huko au nimekosea?😅
Huyo aliyevaa shades,earrings and minyororo shingoni ni muimbaji au mzungusha kiuno? Or shabiki tu ametokea kwa video .
Natamani niwe hako ka Puma
Hahaha! naona,how's the groove ya hizo contemporary mdundiko? Nipe taste ..You are right!!Hii yangu itakua contemporary mdundiko! 😁😁
Eti mzungusha kiuno!🤣🤣
Ndo msanii mwenyewe sasa...
Mke mwenza 😍😍😍😍😍We mke mwenzangu Lamomy selfika View attachment 2910362
Ndugu watazamaji tunasubiri...Mke mwenza 😍😍😍😍😍
Mume wetu anaweweseka uko alipo, sio kwa u hair huo na karangi ka dubai awwwww 🥰🥰🥰🥰🥰
Naselfika ww njoo tumrushe roho mume wetu hapa.!!
We daktari utawaua 😍
☺️☺️We daktari utawaua 😍
Kwahyo lile ua umeamua uzibe nalo sura.
Niko njiani nakuja kurekebisha hiyo nywele,rafiki😅