Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kamera wapi wewe ni photogenic madam kila nguo kila pozi linakutoa muahhh [emoji7]
Mwehh ungejua hapo zinapigwa foto kama 50 then nachagua moja yenye unafuuu😁😁😁🤠🤠🤠!
 
Hahaaa kila nikikuona nasikia
“Hayke hayke hayke hayke
Hayke hayke hayke

Pesa ndogo tu kufika hizo waterfall 🤣🤣
Sijakuelewa hayke maana yake nn au umenifananisha
Anyway wadada wazuri kama wewe tunakaza kichwa tunakubali tumeelewa

Nimepokea mama😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom