NdaghaPm yangu ipo wazi
Umeanza lini utapeli?
Bei gani ? Moja au yanauzwaga kwa kilo ?Anayehitaji anitafute
Yote haya yanaiva kwa wakati mmoja
Mimi siuziBei gani ? Moja au yanauzwaga kwa kilo ?
Utapeli who which when ?? Huoni smile hapo???🤠Umeanza lini utapeli?
Mhhh labda ndivyo mwongozo unasema. 😃Utapeli who which when tena?? Hunioni smile hapo???🤠
Kwahiyo hapo gharama ni usafiri tuMimi siuzi
Nimechuma kwenye mti Mkuu
Usafiri na uwe na sukari ya kutengenezea juice.Kwahiyo hapo gharama ni usafiri tu
Hahahahaha..Usafiri na uwe na sukari ya kutengenezea juice.
Kww mtu aliyepo karibu ni yeye tu kuja kuchukuaKwahiyo hapo gharama ni usafiri tu
HapanaKwa anaetaka kucha kuchukua nyumbani anaruhusiwa?
Hapo stand utavaa mask? Au utatuma mtuHapana
Hayo ni maswali yasiyo muhimuHapo stand utavaa mask? Au utatuma mtu