Hongereni kutusaidia Arsenal kusogea kileleni, hapo tunaombea Liverpool apoteze ama apate Sare ili Tembo sisi tukae juu mtini 🤗💪
Kikafu hii, moshi moja.😂😂😂🌸🌸 nature is beautful. View attachment 2903827
Ni Arusha.Kikafu hii, moshi moja.
AiseeNi Arusha.
Maparachichi haya haya yanayoota kwenye miti au yale mengine😉🤔Nani yupo Mbeya anahitaji maparachichi?
Nina maparachichi yataoza sasa
Maparachichi ndiyoMaparachichi haya haya yanayoota kwenye miti au yale mengine😉🤔
Niko kadege hapa, nipe mwongozo ila yawe na mafuta tu.
Anahitaji akutafute wapi? Kwa njia gani!?Anayehitaji anitafute
Yote haya yanaiva kwa wakati mmoja
Pm yangu ipo waziAnahitaji akutafute wapi? Kwa njia gani!?