Ndiyo mambo ya fake ID ,Unajua mazoea na hii hutokea unakuta ID ya mtu pamoja na fake inakufanya kuamini ndiyo yeye hata kama akileta uhalisia wake.... inatokea sana...ni wachache sana huwa wanafanana na ID wanazotumia...