Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii cake nilipanga nimpe zawadi Tayana-wog kipindi cha bday yake nikala ban 😂😂😂

Joannah sisy naomba nikupe cake ya valentine 😍😍😍
Anne mtengenezee da Joa cake
Mwee
Kwahiyo Wizo wangu ameikosa!
Aipate tu hivyohivyo, hakuna namna.. na Mtumishi Joannah apate pia,, uzuri hamna mbambamba matajiri😂


Joannah una keki yako kwangu.
 
Wale wa get together 🤣🤣🤣
Wale nasikia ndo walikuwa balaa kwa kupelekeana moto mtafute Madame B akwambie 😂😂😂
Yes, Kuna nyuzi zao humu 🤣🙌
Mi sijawahi enda nilikuwa naogopa kipindi hiko....

Hatari Kulikua na Kila mkoa duh , ila walikula maisha
Ni vile zile nyuzi zimekua edited sn na mods kiasi kwamba ukisoma hupati content 😅
 
Kumbe hutu nato tutamuu... Hembu ngoja nivizingatie
 

Attachments

  • IMG_20240211_170313.jpg
    IMG_20240211_170313.jpg
    359.7 KB · Views: 8
Back
Top Bottom