Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mtaalamu Countrywide anasema mie nimeponda madada wa humu jf.. na wewe .. niambie nani na nani nili diss.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. Mbona kuna michezo ya kitoto sana humu ya kugombanisha.. nani niliongea nae habari zako humu.. mtaje nae tumvute hapa
 
Poa nimekuelewa ngoja nitulie. But wanachofanya hawa wanaume wenzetu huwa inasikitisha sana, wewe mwenyewe picha yako iliwekwa kati ukapondwa mnoo. Ukiwa hapa hadharani unasifiwa

Huu unafki aisee nimeukubali
Mie taarifa zote ninazo, nacheka nao naishi nao na napotezea ... maana napenda amani kuliko kitu chochote....wapuuze Linda furaha yako....mtu snitch huwezi mbadilisha....ni asili ipo kwenye damu... achana nao....natambua nayavumilia maana haohao wanaweza kuwa msaada kwangu...nafumba macho maisha yanaendelea πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Bro attention seeker uta wawezaπŸ€£πŸ˜‚πŸ€’
 
Mm nilikua namjibu mtu mwingine, hujaona kavamia na kuanza kuleta ujinga?

Wakipiga umbea ni sawa? Kumbuka hawa ni wanaume
Mkuu humu tupo watu wa aina tofauti, wenye tabia na malezi tofauti hivyo tuchukuliane kama tulivyo. Hata mitaani kuna wanaume wambea pia ni jinsi tuu ya kujua unaishije nao, humu JF wengi tunainteract sana ila hatujuani basi tabia zao ( umbea) sizikupe shida awe wa kike au wa kiume.

On other side wadada wa humu kinachofanya wapondwe sana na kusemwa ni vile wanajirahisha imagine dada mmoja kashakutana na wanaume wa JF zaidi ya 5 sio kikazi wala dili la maana unategemea nini kitokee?? ( siwasapoti tabia yao pia).

Wengine hata wakisema watuseme wataishia kusema kile tulichokileta mtandaoni na sio nje na vya humu which is ni ruksa kusema watakavyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa bro yaishe, wala tusifike mbali sana. Lakini ukweli unaujua
Country jaribu kuwa mstaarabu kidogo kma umesikia kitu kuhusu mtu kuliko kukileta hadhari thibitisha kwaza unaposema sisi wambea sawa mm nimekubali mkuwa mbeya je wewe iko unachokifanya ni nini? Kuanza kutafuta habari za wanaume wenzio?

Mimi binafsi sipendi ugomvi mzee ila wewe inaaonekana ni mtu wa shari af huna busara ata kidogo lengo lako la kuongea hapa uonekane unajua habaro za watu sana kuliko wao na hizo habari za uongo na uzushi endeleeni kuzusha mkiona mmechoka mtakula mtasisizia

Siwezi kukupangia cha kusema juu yangu kutokana mawazo ya mtu yanatungwa na mwenyewe sema kile unachotak kusema wewe sema ila nakuhaid utokuja kuona nabishana na wewe kwa story za kutunga ata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…