Selfika na JF: Snap it. Show it

Keteni mziki wa fitina, wekeni ushahidi wa hayo mambo huko .. pumba na mchele vitengane.. kuliko maneno kwa wanaume ( watoto wa kiume havifai )..
Bro hili linahitaji ushahidi? Wewe ulikua unachat na dogo huyu anaitwa mwichuliwi ukaponda sana mademu wa huku unaowajua na mmewahi kukutana. Unahisi hadi mm nimejua, nimejuaje?

Bado unahisi nawasingizia hawa??
 
Mm nilikua namjibu mtu mwingine, hujaona kavamia na kuanza kuleta ujinga?

Wakipiga umbea ni sawa? Kumbuka hawa ni wanaume
 
Aisee,huu Uzi utapigwa ban si muda....Dunia si yetu mkuu....msiwe na maneno makali mno tafadhali..plzz
 
Sijui kama umenielewa vizuri, hakuna sehemu nimesema umemtaka, au umeniundia kikao.

Nilichosema mbona kipo wazi hapo? Soma tena
 
Bro hili linahitaji ushahidi? Wewe ulikua unachat na dogo huyu anaitwa mwichuliwi ukaponda sana mademu wa huku unaowajua na mmewahi kukutana. Unahisi hadi mm nimejua, nimejuaje?

Bado unahisi nawasingizia hawa??
Kama wame eddit hizo message, Mwachiluwi mbona sinaga nae story PM.. mie na huyo mbona ni mbingu na ardhi.. huwa sina time ya kudhalilisha mwanamke na hasa kama simfahamu.. mawasiliano na huyo dogo ni ya namha za mademu tu alinipa namba za mademu.. na nilipo jilizisha sio wakali nikapotezeaa.. 😅😅😅
 
Nilicho ona kuna michezo watu wanatengeza ( wanachonga mi message ) 😅😅😅.. alafu wanafanya kujaza ujinga..
 
sawa bro yaishe, wala tusifike mbali sana. Lakini ukweli unaujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…