Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,228
🤎
Tajiri inabidi uingie jikoni upike tu ugali, kale ka ugali kwa Shishi kalaini vile kwetu sie kina ngosha ni kabichi hakajaiva vizuri halafu kadogo.
Kwa kweli nikisema nikuoe utateseka sana kama ndio vyakula kama hivi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi najua kupika vyakula simple vya wavivu km hiviView attachment 2731467
Asante kipenz ila sio sana ni rangi maji ya kunde mnasemaHapana uko vizuri mno na rangi hiyo ndio balaa!![emoji7][emoji7][emoji7]
Yaani kwenye avatar umeweka black wakati wifi angu mweupe peeeeh!!