Karibu sana chiefBoss umesafiri kimya kimya wakati mi ndio nakuja bariadi.
Ukifika ukifika Lugulu nipigie
Karibu sana chiefBoss umesafiri kimya kimya wakati mi ndio nakuja bariadi.
Nikupigie wakati uko mtukula unainjoy.Karibu sana chief
Ukifika ukifika Lugulu nipigie
Sawa kaka[emoji3526] ukitaka selfie njoo wozap humu Tena naona kushaharibika kumekua kama Mwananyamala Kwa manjunju Kila siku kusutana kasoro vigoma TU,Sasa na uzee huu Mimi siyawezi hayoUsituache sana
Uwe unapita unatupia ka selfie mara moja moja
😂😂😂😂Kaa hapo hapoEmbu nibless na kaselfie nikupeleke the cask.
😂😂😂😂Ccy shikamooSawa kaka[emoji3526] ukitaka selfie njoo wozap humu Tena naona kushaharibika kumekua kama Mwananyamala Kwa manjunju Kila siku kusutana kasoro vigoma TU,Sasa na uzee huu Mimi siyawezi hayo
Usijareee kabesaaa ntakuletea !!Utuletee mizawadi kama yote 🥰 boss lady.
Hatari tupu yanii!! Sikuhizi Hapa hapafai kabesaaa!Sawa kaka[emoji3526] ukitaka selfie njoo wozap humu Tena naona kushaharibika kumekua kama Mwananyamala Kwa manjunju Kila siku kusutana kasoro vigoma TU,Sasa na uzee huu Mimi siyawezi hayo
Selfika mmenishinda tabiaaaa🙌🙌🙌🙌🙌😂!!Weee unatuachajee
Shooo unaona watKuonea wivu wakijua uko na Mr vouchaaa😂
Poapoa kipenzi nikirudi Will check you tubonge !!Afadhali tutoangea bana
Mr Handsome.
Ushatupia sis???😂😂😂😂Kaa hapo hapo
Nipo na shangazi big big heavy heavy😅😅😅
Pamana mzeeNipo na shangazi big big heavy heavy😅😅😅View attachment 2730538
injoy soma hapoNipo na shangazi big big heavy heavy😅😅😅View attachment 2730538