and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,977
Kama leo natazama match ya Azam vs Bahir nakuona wewe tu kwenye TV hadi penalty, naona tabasamu lako.We sema kweli??
Kwenye glass unaniona nafanya nini??
Kama leo natazama match ya Azam vs Bahir nakuona wewe tu kwenye TV hadi penalty, naona tabasamu lako.We sema kweli??
Kwenye glass unaniona nafanya nini??
😂😁😁😁😁😂😂🤒, Seneneirizi ndo nini
Sio me ni coca




uduguuu nitoleee balaa lako, niko tsup nabebishana na babaa tamuu.Utajua hujui we si bado unahangaika na wamama wa huku 😆😆😆.mechi gani🤣
Kama leo natazama match ya Azam vs Bahir nakuona wewe tu kwenye TV hadi penalty, naona tabasamu lako.




Kwa swaga za kisukuma hizi🙄😂, utegemee kupata Dem🙄.Kama leo natazama match ya Azam vs Bahir nakuona wewe tu kwenye TV hadi penalty, naona tabasamu lako.
Baki na selfika ambadela ambadela.Kwa Kweli me kila nikitaka kuleft uzi wa selfika kunatokea manjegeka mengine nabaki![]()





sawasawa,Utajua hujui we si bado unahangaika na wamama wa huku 😆😆😆.
Endelea tu acha sisi tujipoozeshe hapa
Namsaidia ulikuwa unapiga no 9Kweli?? Ko nilikua nacheza jezi namba ngapi??![]()
uduguuu nitoleee balaa lako, niko tsup nabebishana na babaa tamuu.



Emu tulia utongozwe mshamba achukue tipsNiko huku pia, kesho ntakua chantaburi.
mgao wa umeme unasumbua😂😁😁😁😁😂😂🤒, Senene
sitaki dhambi😂😁Nimepumzika baada ya kusogoa
Nunua solar watt 200 mzee😂😂mgao wa umeme unasumbua
nini hicho?
Baki na selfika ambadela ambadela.
Baki na selfika, kwa sauti ya Mr blue
![]()



Hata nikijitahidi vipi wananiitasio nyumba yangu hiiNunua solar watt 200 mzee😂😂
Prince Dube anafunga nikasimama kushangilia nasema "cute wifeeee" wenzangu wote wakaanza kunishangaa.Kweli?? Ko nilikua nacheza jezi namba ngapi??![]()