and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,987
Huyo ni cocastic mashine ya umbea imepumzika.Dah cute ana tabu huyo😂😂
Huyo ni cocastic mashine ya umbea imepumzika.Dah cute ana tabu huyo😂😂
nimefika na mia moja wengine
Niwakute wapi Sasa hivi😊
Njoo utuone basi maana hata sisi tumekumiss!!🥴
Kidogo tu 😶🌫️😶🌫️😁Cha ukorofii 😁🏃🏃🏃
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaaa weraaa.
Duuh hadi ww 🤣🤣🤣. Mi situmii chochote pm mummy mi pm yangu yenyewe imefungwa na funguo zimepotea chooni 😔.Kama mnavyotumiana huko Piemu....!
Shuhudia leo ninavyochukua pisi kali kiulanii!!nimefika na mia moja wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwijaku na mama zuhuraa, kimeumanaaa huku.
Mtu kaitwa kipwatee, woiiiiiih
niko hapa nachukua tips and tricksShuhudia leo ninavyochukua pisi kali kiulanii!!
Ipitie Basi iyo pm kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soon naandika kitabu😁😂, siku 120 za mateso ya tumbo😁😂Ntawaambia unaumwa na umeandikiwa special diet ila upo in denial!!!!!😏
I mean no malice to nobody 😁😂🤒Shuhudia leo ninavyochukua pisi kali kiulanii!!
Hamna shida cutii [emoji3526][emoji2]
I mean no malice to nobody, we mwema Kaka😂😁Duuh hadi ww 🤣🤣🤣. Mi situmii chochote pm mummy mi pm yangu yenyewe imefungwa na funguo zimepotea chooni 😔.
Hamna kitu chochote bana 🤭
Andaa daftari na kalamu.niko hapa nachukua tips and tricks
😂😁😂😂😂, Napita tuLeo umejua kuni surprise [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema nini we endelea kunipa pdf nienjoy
Nikinywa maji kwenye glass nakuona.
Kwanza Njoo loliondo mnadani kibaha kesho nikukandamize na mbuzi beberu mmoja.Kaka siku izi mbona hupiti Barabara ya sheikh😁😁😁😂
nshafungua notepad hapa kwa pcAndaa daftari na kalamu.