Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,928
Hizo ndio zenyewe sasa sio zile "sentaiti" zenu..View attachment 1279093
Leo jeans zote mbichi,nilifua jana usiku,zilizobaki ni mabwanga na marefu[emoji23]
Hizo ndio zenyewe sasa sio zile "sentaiti" zenu..View attachment 1279093
Leo jeans zote mbichi,nilifua jana usiku,zilizobaki ni mabwanga na marefu[emoji23]
Came from Mobeto[emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo kongatulasheni.
Ndo ushangae sasa.Lol hajawahi kumsikia wala kumuona.
Kabisa yaani.Halafu hajawahi kabisa
Daaah! Nishakua dogo tena 😂😂😂🏃🏃Dogo kongatulasheni.
Marshalah
Sasa wewe, Hawachi , Saint anne na Karma nao wa kuongea mbele ya wakubwa kweli[emoji134][emoji134][emoji134]Daaah! Nishakua dogo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Hongera sana
Mbona unatumia nguvu nyingi kujipa ukubwa? 😀😀😀 wacha muda wenyewe ukukuzeSasa wewe, Hawachi , Saint anne na Karma nao wa kuongea mbele ya wakubwa kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
👏Hongera sana
Kumbe ndo mana ulificha nywila?
Hahaha [emoji23]Hizo ndio zenyewe sasa sio zile "sentaiti" zenu.
@Atoto ,hao watoto dp unawatoaga wapi wazuri hivoHizo ndio zenyewe sasa sio zile "sentaiti" zenu.
Eti ubwabwa [emoji16][emoji16]
Hahaha...leo patafuka moshi hapa
Babe 😘😘Kumbe ndo mana ulificha nywila?
Hongera de