Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabla hujaondoka tuambie yule mliyekua mnachat nae mana tumekuona wewe tu!! Na kwann ulimtumia pic yangu??
😃🤥🤥🤥🤥🤥 Nenda PM cutiii nimekutumia kila kitu sijaficha kitu 🤓🤓🤓🤓.


Participants utawaona sasa sijui na ww utasambaza au ni vipi.

Its up to you 🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠. Usiseme hujaona

And am sorry kwa kusambaza picha yako I'm sorry 😔😔😔😔 ilikuwa bahati mbaya sema we zisome chats za pande zote utaelewa vyedi. 😁😁😁😁😁.

Hizo ulizopewa zilizofichwa fichwa achana nazo uone mtandao mdogo tunao wa discuss humu. Sema hii id siku hizi haina ishu ndo maana sipo nayo hewani sana. 🤭🤭🤭
 

Nimekusamehe
Ngoja nikajionee kila kitu mie


Sema kwa Jack uongo sijatoka nae, Kantri

Siku nyingine uje nikupe ukweli mbona me sinaga longolongo!! Afu pic uliosambaza kali nimepata piem nyingi sana za kutumiwa vocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…