Selfika na JF: Snap it. Show it


Mwanamke kujiamini bwanaaaaa [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 

Wasikupangie wao sio Mello, mwenye uchungu akazae SHUBHAMIT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji55][emoji55]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Bora anaeongea waziii kuliko mnafiki Mnafiki ni muuaji mkubwa! Anakuchekea deep down anakuangamiza!!
Kabisa


Kwa heshima ninayokupa Madam please naomba uachane na haya mambo ya kuchambana.


Save your energy
Kukaa kimya ni jawabu zuri zaidi.


Tujikite kuchanganya chemicals wasomi sie
Tuje watengenezea bia nyingine mpya😂

Kama hujasoma kemia jua post haikuhusu🤣🤣🤣
Hii ni yetu vipanga tu wanakemia😂(Nawatania ila ni ukweli)
 

Nakazia mkishakojoleana hakuna mupyaaaaa [emoji706]
 

Siri ya mtu mmoja tyuuu!!! [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Yanii kila nachofanya humu wanampelekeaa naee anayaleta kama yalivoio[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji23]!! Nacheka kama mazuri vilee nyieeee!!

Aibu kweli!! Miongozo kawasambazia burudani afu bado anakutumia walivyo bong’oka duh!!! Jf ya moto udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ongeza volumeeeeee!!
Huku nyuma hatujasikia kwenye minini yao………?!!!
 

Hawa wanaosubiri vocha had usiku kwa Mjep?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Walete pic full tuangalie nani wa kuitwa shangazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…