Selfika na JF: Snap it. Show it


Mufindi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🙌🙌😁😁Wasamehe mama wamekoma
 
Ila wadada baadhi wa Humu, mna chekesha Sana.
[emoji117]Mna act ni marafiki, ila still mna snitch ana.
[emoji117]Mme tengeneza team za kutusiana dah[emoji855].
[emoji117]Uki uliza kisa[emoji855], utabaki una jichekea [emoji16][emoji23][emoji23]
Ni upumbavu na uzwazwa wa hali ya juu
Kama wamekosa malezi.

Kila siku kutupiana vijembe.

Wanatudhalilisha wanawake wenzao.
 

Kwann lkn?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Kuna manara humu?? [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…