Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,492
- 35,645
Ile ilee
Nipigie nisikie bass
Nisije nikahackiwa
Nisije ID yangu ikachukuliwa nikakosa mishangazi
Any way ngoja nipo lodge nikitoka nitakupigia
Ile ilee
Nipigie nisikie bass
Wewe huyo
Acha uchoyo hata wengine wanatakiwa wajue hapahapa sio pm
Au nakosea Intelligent businessman![]()








Duh 🤔Samahani kwa Nini isiwe MUNGU??, Coz Hana msaidizi au mshirika🤔
Tuelimishane tu,Duh 🤔
Hapa tutaingia kwenye masuala ya Imani itakua ligi nyingine!
Tuachane nayo mdugu
Hahaaa hakuna wa kukuhack .Nisije nikahackiwa
Nisije ID yangu ikachukuliwa nikakosa mishangazi
Any way ngoja nipo lodge nikitoka nitakupigia
Kumbe ndo maana bado huna hela nyingiiiKwan ni kina Nani hao
Kivumbi leo
Nachati sana vidole vinauma
Sijui kama nitapiga nyeto leo
Nakubali Kaka💪, enjoy buddyView attachment 2728119
It’s weekend si ndio?? Ahya wekeni makasiriko yote pembeni
HelowHahaaa hakuna wa kukuhack .
Sawa kaka ..
Mi Simon😂🤣🏃🏃🏃, wote vijana🤣😅Wewe huyo
Acha uchoyo hata wengine wanatakiwa wajue hapahapa sio pm
Au nakosea Intelligent businessman 😂
Hiyo hela ya nchi gani mkuvwa🤔View attachment 2728119
It’s weekend si ndio?? Ahya wekeni makasiriko yote pembeni
Miss you tooHelow
How r u
Miss uuuuuu Tin km tin
Nothing is impossible.Mungu afanye wepesi.. ukiwa na £10,000 itapendezaa 😊😊View attachment 2728110
Imani ziko tofautiTuelimishane tu,
Hongera sana.. Ni mda wako huu.. ( majira yako , naamini unajua .. mpo kwenye special mission ya Mungu.. ) 🙏🙏🙏🙏Bwana alifyefanikisha Hilo,atafanya na atafanya tena in Jesus name I pray!
Kwakweli Neema yake tu sio Kwa ujanja!
Tumetoka Dodoma,tunasubiri mbeya na iringa
Yes dearMiss you too
Mambo . Long time no see .
Yes yes 🙏🙏Hongera sana.. Ni mda wako huu.. ( majira yako , naamini unajua .. mpo kwenye special mission ya Mungu.. ) 🙏🙏🙏🙏
Kauli mbiu yetu sasa ni "Nothing is impossible"Nothing is impossible.
Unazingua banaKheee sasa nitanyaje mm domo zege nyeto ndyo inanisaidia mama mchungaji![]()
mtoto ana msubiri baba yake 😅😅😅Code moja nzito Sana🤣😁, ma great ufukunyuzi tume ijua🤣😂🏃🏃🏃💪