Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,009
- 95,518
Dogo tusalimiane kwanza, isiwe Kama wote tume kula na wahindi😁😂🤒🤭 bado sana najitafuta kwaza
Dogo tusalimiane kwanza, isiwe Kama wote tume kula na wahindi😁😂🤒🤭 bado sana najitafuta kwaza
unadhani ni buku tu sio😂Vipi tuku oneshe mgahawa wa wajapan😁🤒
Badae uje uweke mzigo mzito uwe kama Kijana wako TrumpSija Zama huko toka juzi, ila nili Acha net flix ana kimbiza🤒
Kikubwa ule kwanza, uki zidiwa uta kimbilia balozi za tz au marekani😂😁🤣unadhani ni buku tu sio😂
Hongera sana👍👍nasubiri muamala tu hapa 😅😅😅.. dogo mwarabu walimpiga china wakanirudisha tena 🙏🙏🙏🙏.. ila muamuala wa DP World nausubiri 😅😅😅😅
Lazima hiyoo mzee, hata dollar elfu 5000. Mbona unaeza kimbiza.Badae uje uweke mzigo mzito uwe kama Kijana wako Trump
Code moja nzito Sana🤣😁, ma great ufukunyuzi tume ijua🤣😂🏃🏃🏃💪nasubiri muamala tu hapa 😅😅😅.. dogo mwarabu walimpiga china wakanirudisha tena 🙏🙏🙏🙏.. ila muamuala wa DP World nausubiri 😅😅😅😅
Vyote Yesu na pesa ,utaona unakula mema ya nchiAisee ngoja nitafute pesa
Samahani kwa Nini isiwe MUNGU??, Coz Hana msaidizi au mshirika🤔Vyote Yesu na pesa ,utaona unakula mema ya nchi
😅😅😅😅 kazi ikifika stage flani.. inabidi bahasha zitembee tu hakuna namna..Hongera sana👍👍
Sa mbona sikupewa mgao wa maombi niliyofanya😅
Au hujui walawi tunakula madhabahuni?
Dp 🌍 Ina wenyewe jmn 😅
Mchawi si lazima arogee wapendwa mwingine huyuu hapa ambae alijazia nyama kutoka kwahuyo mchawi wa hapo juuu !!
Teeeenaa huyu hiki kipindi alisema nahaha sana nimechanganyikiwa kwakua bado nampenda huyo mtu nakwamba mimi namuomba msamaha huyo mtu mwenye kapo zake mpya humu ili turudiane!!
Huyu alikua anachukua kila kitu ninachokifanya humu anaenda kumwambia jamaa na kunipondea sana nimejuajee bado naendelea!!

Duh🙄🤔Mchawi si lazima arogee wapendwa mwingine huyuu hapa ambae alijazia nyama kutoka kwahuyo mchawi wa hapo juuu !!
Teeeenaa huyu hiki kipindi alisema nahaha sana nimechanganyikiwa kwakua bado nampenda huyo mtu nakwamba mimi namuomba msamaha huyo mtu mwenye kapo zake mpya humu ili turudiane!!
Huyu alikua anachukua kila kitu ninachokifanya humu anaenda kumwambia jamaa na kunipondea sana nimejuajee bado naendelea!!
Vyote Yesu na pesa ,utaona unakula mema ya nchi

Bwana alifyefanikisha Hilo,atafanya na atafanya tena in Jesus name I pray!😅😅😅😅 kazi ikifika stage flani.. inabidi bahasha zitembee tu hakuna namna..
Unapendeza, Mungu anakutunza .. endelea kutuombea 🙏🙏
Mungu afanye wepesi.. ukiwa na £10,000 itapendezaa 😊😊Lazima hiyoo mzee, hata dollar elfu 5000. Mbona unaeza kimbiza.
👉Maana una kuta I'm shuka kutoka 170- 145. - Ina panda Hadi 180;.
👉So possibility ya kuwa daily trader au long holder Ina weza fanya kitu.
Ile ileeNamba yako ile ile au umebadilisha
😅Wewe huyoNije PM unielekeze jinsi ya kuvipata![]()