Selfika na JF: Snap it. Show it

unacho ona kinaendelea humu, ni matokeo ya watu kuchukiana. Watu humu wa akili sana na wanajua kila wanachofanya. Ulanzi upo ?
Unamchukia mtu bila sababu???? Lazima kutakua na chanzo!!!
Usipende kuingilia vitu usivyokua na uhakika navyo ailimradi watu wamekujaza maneno tu huko wewe unakurupuka!!

Jana uliniambia mie nawachawia nawachafua watu humu Naomba uniambie nilichowafanya hao watu wako! Hilo tu
 
Kweli, siwezi kukuchukia tu wewe bila sababu, lazima kuwe na sababu,
 
Kweli, siwezi kukuchukia tu wewe bila sababu, lazima kuwe na sababu,
Humu ishajulikana sababu ni mambo ya kushea mi bolouuuu sasa najiuliza niwachafue kwakipi hasa na kila kitu kilikua wazi humu hakuna asiejua ile skendo??? Kwamba mpaka waleo mie nawachafua nawachafua kivepeee yani????
Hiki ndicho ninachotaka kufahamu hasa kutoka kahuyo mwanahabari na msemaji wao mkuu!
 
Kumbe shida ndo hiyo, kwa mfano tukiongeza hiyo miti iwe yakutosha, isiwe ya kushare tena hili tatizo litaisha humu ??? [emoji23][emoji23]
 
Aisee,pole sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…