Sio mbwa wazuri hao wana hasira sana.. disha zao zinayumba yumba sana.. lazima ujue saikolojia yao...maana hata mlishaji wake kuna mda wana msahahu.. wanampa mambo 😅😅

Yeeeh, thats the breed huwa na midomo hyo na wengi huwachanganya french buldogs na American bulldogs au american XL
Huyu ndo american bulldogs,, vere dangerous