Selfika na JF: Snap it. Show it

Lol Nataka Nikararee mnywanii hapa sikuhizi kuna usengeusenge sana!! Kama ipo mbali utanibles hata kesho mnyaniii akeee ubarikiwe sana!!
hahaha!
Tuishi humo huomo tu mnywani.

Tatizo binadamu wa sikuhizi Ni wabishi Sana kusikia na kuelewa.

Au nimuite aje atoe miongozo eh haha
 
πŸ™πŸ™πŸ™ nichukue basi.. najiuza bei cheee.. kweli hata leo ndio nina type mwisho mwisho.. nashusha viwango vyangu sanaa.. leo nimeku sweet wangu πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
 
πŸ™πŸ™πŸ™ nichukue basi.. najiuza bei cheee.. kweli hata leo ndio nina type mwisho mwisho.. nashusha viwango vyangu sanaa.. leo nimeku sweet wangu πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
That's it my manπŸ‘Š.....wanaokufahamu watashangaa kuona kumbe nawe wajibishana,walumbana,wakwaza watu.please majukwaa yapo mengi.... jitahidi sanaπŸ™πŸ™πŸ™
 
That's it my manπŸ‘Š.....wanaokufahamu watashangaa kuona kumbe nawe wajibishana,walumbana,wakwaza watu.please majukwaa yapo mengi.... jitahidi sanaπŸ™πŸ™πŸ™
πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ... dah! πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯° usinitoe nyota basi siiingi tena humu.. acha nianze shinda jukwaani kwangu kwenye Tech, Garage, Internaarion na ID yangu.. leo kweli nimetoa bokoo.. nakuja unibembeleze hata nilale 😘😘😘😘.. nakupenda sweetwangu... aione Intelligent businessman
 
Kafie river malagalasiπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…