Hahahaha kaka mbona nipo humu kila siku na huwa tunachat?? Sema siku hizi kweli mambo yamekuwa mob ni vile tu naipenda sana JF ndiyo maana nalazimisha kuwepo!!

Haaah! unazingua utakuja kuwa unatoa harufu za mixture ya ovyo. Usipulize uko chini, hata kwenye kwapa si best option. kule ni kuna kitu kama hydrocare natumia maana pia harufu kali inaumiza kuchwa