Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo si wamejipeleka wapate cha kuanzia shougaaa wanaona wakikukandia ndio watapata soko!
Cha kushangaza hadi ratiba zao za kuliwa unaambiwa kuanzia wa kuliwa Gym hadi wa kuachwa wamelala ndani badae ndio wanaenda makwao mxxxieeww!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie hivi nini haswaaa!! Mbona wanawake tunapenda kujidhalilisha?? Unapigwa miti hovyo hovyo namna hiyo?? Khaaaaaa!!!! [emoji119][emoji119][emoji119]

Afu uzuri wa wanaume wa jf wakila papa lazima wahadithie duh!!!
 
Udugu nasema ukweli km kuna kenge kanitongoza kanihonga pesa alete ushahidi nimuongezee na nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila hii Kantri haimuhusu [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee eboooh!!!!"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sio Selfika, JF yote iko kiganjani kwangu, Mello na moderators wake wote wanafahamu hilooo.

JF hainisumbuii wala hainistuiiii.
Kimtu chenyewe kinachosema jf ipo kiganjani ukikiona kinavyotia huruma 🤣, we ngoja nikuache nati zimelegea.
 
Tajiri kwa kweli, hata ukinyoa upara sitokusahau, sasa hio tunza kwanza nimalizie bundle langu. Lakini nashukuru sana kwa roho yako nzuri.
View attachment 2727591

Wacha weee!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namna hiyo ndo tunataka sio mwanaume na pumbu zake mbili anaomba na kusubiri vocha kwa mwanaume mwenzie afu anajiita tajiri Mxxiewwww [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi hii ya kula mdada na kuja kutangaza humu ni ushamba au nini ulimbukeni cha ajabu ni kipi 🤷🏼‍♀️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikufurushaaa na hoja zako uchwaraaaaa, umekosa wa kuwajengaaa?
Kuliwa aliwe mwingine, mikitoo uisikilizie wee inahuuuuu????

Nasemejeee mateso na maumivu ni endelevuuu.
 
Wacha weee!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namna hiyo ndo tunataka sio mwanaume na pumbu zake mbili anaomba na kusubiri vocha kwa mwanaume mwenzie afu anajiita tajiri Mxxiewwww [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mbona umeongea kwa sauti hivyo kuna mtu unataka asikie?
 

Woyoooooooo!!! Kumbe bosslady wa kugawa mivoucher [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Hapa umefanya nikupende, sipendi mademu njaa wawe karibu yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji255][emoji253][emoji255][emoji253][emoji255][emoji257] maua yako hayo bosslady
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikufurushaaa na hoja zako uchwaraaaaa, umekosa wa kuwajengaaa?
Kuliwa aliwe mwingine, mikitoo uisikilizie wee inahuuuuu????

Nasemejeee mateso na maumivu ni endelevuuu.

Huyu leo lala nae mpk akuamkie sio kwa tusi zito lile eti, “ Tako gumu km jiwe” usikubali udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao wanaokitembeza hawawaoni wanamuona Antonnia tu afu mi niwachafue kwakipi cha maana kwanza??? Wana nini yaniii???
Mbona mtu mwenyewe alikua anakili kutema big g kwa karanga zakuonjeshwa!! Hebuuu waniwachee miee
Treinnnaah wanikomee kabisa kunihusisha sina muda nahuyo mtu wao mpaka nihangaike nae mie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…