Hahahaha....................unanitisha Mjukuu, lakini ukiingia ofisi ya Waziri Mkuu hapo nje kabla hujakutana na Walinzi kuna boksi la kutoa maoni Mjukuu, hebu fanya hivyoBabu km babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu umbea unaniwasha mwenzio!!! Nisije kuongea kitu bure [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hutaki kumtetea tena[emoji23]?
Hahaha......usipende kufukua makaburi Mkuu, Babu anaweza kuanguka kwa Presha hapa 🤪😂🤣🤣🤣, 19 ngapi ile😂🤣
Asante kwa tafadhari Mjukuu, nitajitahidi kuilinda wallet yangu [emoji847]
Amepita bila kupingwaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuhusu maokoto kweli Sina, sijui nili yaacha lushoto ama hazina. [emoji1787][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua kwann nachekaaa? Humu watu watakufa wamechokaa sanaaa.
Umechelewa kuja selfika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chiziii kweliii wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna babu wa ajira, na babu wa maokotooo.
Unatembeaa na yupiii??
Unajipigia debe humu kwamba una soko na rangi unayo 🤣, umedoda hadi umeamua kujifanyia marketing kwa maneno, picha yenyewe huweki kazi kupiga domo tu, hakuna mtu wa ku flirt na wewe humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha ajabu unateseka wee, kuliko huyo mzazi wangu.
Kwemaaaaaaa????
Hahahaha....................unanitisha Mjukuu, lakini ukiingia ofisi ya Waziri Mkuu hapo nje kabla hujakutana na Walinzi kuna boksi la kutoa maoni Mjukuu, hebu fanya hivyo
Miaka ile ya 47 tulikuwa tunasema usimwage mchele kwenye Kuku wengi [emoji2957]
Unajipigia debe humu kwamba una soko na rangi unayo [emoji1787], umedoda hadi umeamua kujifanyia marketing kwa maneno, picha yenyewe huweki kazi kupiga domo tu, hakuna mtu wa ku flirt na wewe humu.
Tuna flirt na pisi zinazojielewa, sio wewe Skin and Bones, huna kila kitu, Ptuuuu!!!
Kwa kweli Mjukuu, nitakuwa makini maana kuna mmoja alinipelekaga Kitambaa cheupe wakati fulani.Umakini unahitajika sana hapo ukizubaa wamekulamba wallet utakosa hadi nauli ya kurudi kwako bonyokwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usimuamshe, muache apumzike.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaa!!!
cocastic kuna msg yako huku udugu
Kwa kweli Mjukuu, nitakuwa makini maana kuna mmoja alinipelekaga Kitambaa cheupe wakati fulani.
Ndiyo kwa mara ya kwanza nakutana na Wajukuu wanakunywa zile Wine za 180,000. Bila kuwa na huruma na Babu yao walikunywa Chupa 3 plus Mbuzi nusu
Siku ile Babu yenu nililazimika kutembea kwa Miguu kurudi Kijijini maana wale Wajukuu walihakikisha Babu yao sibaki hata na mia mbovu [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umakini unahitajika sana hapo ukizubaa wamekulamba wallet utakosa hadi nauli ya kurudi kwako bonyokwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaa, ngoja moto ukuwakiee utajua hujuii.Mitano tena kwa babuuuuu!!!
Wa wa wa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazi iendeleeeeeeeee!!!!
Ajira kwa woteeeeeee
Tulimpenda wenyewe, tuntuu
Chaguo letu wenyewe, tente
Na mtiwe mpasuke, tinti
Acha waisome namba eeeeee, babu migambuti mbele kwa mbeleee [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nibebee kijora kimoja, nataka kuselfika nacho.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nishatua na mashangazi kaja yangu selfika
Tatizo nikitaka nisiingie mtanitafuta mpk nitaingia yani!!!
Emu muda wa kuselfika niselfike nikaendelee kuuza vijora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Una hoja usikilizwee.Wa ajira ana kitu atafika mbali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaa, ngoja moto ukuwakiee utajua hujuii.