Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Aug 24, 2023 #371,361 Wale tuliokuwa nao miaka ile ya 1967 watakuwa wanakumbuka mtindo huu wa mavazi ukiitwa kwa jina maarufu la Chai Maharage🤪 Kweli tumekula chumvi nyingi 🤗
Wale tuliokuwa nao miaka ile ya 1967 watakuwa wanakumbuka mtindo huu wa mavazi ukiitwa kwa jina maarufu la Chai Maharage🤪 Kweli tumekula chumvi nyingi 🤗
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,362 Intelligent businessman said: Sema uko POA pacha??? Click to expand... Vipi kwanza wifi alirudi au ndo kakubwaga mazima??
Intelligent businessman said: Sema uko POA pacha??? Click to expand... Vipi kwanza wifi alirudi au ndo kakubwaga mazima??
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Aug 24, 2023 #371,363 Antonnia said: Sawa babuu tunasubiria! Click to expand... Tayari Mjukuu
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,364 Grahams said: View attachment 2727256 Wale tuliokuwa nao miaka ile ya 1967 watakuwa wanakumbuka mtindo huu wa mavazi ukiitwa kwa jina maarufu la Chai Maharage Kweli tumekula chumvi nyingi Click to expand... Oyooooooooo!! Babu wa moto una haki wajukuu tujigonge
Grahams said: View attachment 2727256 Wale tuliokuwa nao miaka ile ya 1967 watakuwa wanakumbuka mtindo huu wa mavazi ukiitwa kwa jina maarufu la Chai Maharage Kweli tumekula chumvi nyingi Click to expand... Oyooooooooo!! Babu wa moto una haki wajukuu tujigonge
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Aug 24, 2023 #371,365 Cute Wife said: Nasubiri granpa Click to expand... Tayari Mjukuu Ila ungekuwa karibu ungenisaidia kuvuka barabara leo, kuna Kilabu cha jirani nataka nikanywe na Wazee wenzangu sasa kuvuka ndiyo changamoto 🤪
Cute Wife said: Nasubiri granpa Click to expand... Tayari Mjukuu Ila ungekuwa karibu ungenisaidia kuvuka barabara leo, kuna Kilabu cha jirani nataka nikanywe na Wazee wenzangu sasa kuvuka ndiyo changamoto 🤪
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Aug 24, 2023 #371,366 Cute Wife said: Oyooooooooo!! Babu wa moto una haki wajukuu tujigonge Click to expand... Kwasasa nimezeeka Babu yenu maana hiyo picha ni ya mwaka 1967 🤪
Cute Wife said: Oyooooooooo!! Babu wa moto una haki wajukuu tujigonge Click to expand... Kwasasa nimezeeka Babu yenu maana hiyo picha ni ya mwaka 1967 🤪
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,152 Reaction score 43,113 Aug 24, 2023 #371,367 Cute Wife said: Me huyo nina msongo wa mawazo??!!!! Aiseee!! Basi wewe utakuwa na MSUNGO Afu usinipangie cha kupost sawa!!! Endelea kujitibu macho bro Click to expand... Daah 😂😂😂
Cute Wife said: Me huyo nina msongo wa mawazo??!!!! Aiseee!! Basi wewe utakuwa na MSUNGO Afu usinipangie cha kupost sawa!!! Endelea kujitibu macho bro Click to expand... Daah 😂😂😂
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,368 Grahams said: Tayari Mjukuu Ila ungekuwa karibu ungenisaidia kuvuka barabara leo, kuna Kilabu cha jirani nataka nikanywe na Wazee wenzangu sasa kuvuka ndiyo changamoto Click to expand... Babu mwenzio niko katoro huku hata daslama sijui inafananiaje ndo nitaweza kukuvusha barabara kweli?? Labda nikuitie cocastic na Antonnia wao ndo wanakaa town babu yangu
Grahams said: Tayari Mjukuu Ila ungekuwa karibu ungenisaidia kuvuka barabara leo, kuna Kilabu cha jirani nataka nikanywe na Wazee wenzangu sasa kuvuka ndiyo changamoto Click to expand... Babu mwenzio niko katoro huku hata daslama sijui inafananiaje ndo nitaweza kukuvusha barabara kweli?? Labda nikuitie cocastic na Antonnia wao ndo wanakaa town babu yangu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 24, 2023 #371,369 Antonnia said: Sawa ngoja nitaongea nae! Click to expand... Ubarikiwe
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,490 Reaction score 96,959 Aug 24, 2023 #371,370 Grahams said: View attachment 2727256 Wale tuliokuwa nao miaka ile ya 1967 watakuwa wanakumbuka mtindo huu wa mavazi ukiitwa kwa jina maarufu la Chai Maharage🤪 Kweli tumekula chumvi nyingi 🤗 Click to expand... Dah Jamaa wa 40-50 ana jiita mzee wa 70🤣😂😁
Grahams said: View attachment 2727256 Wale tuliokuwa nao miaka ile ya 1967 watakuwa wanakumbuka mtindo huu wa mavazi ukiitwa kwa jina maarufu la Chai Maharage🤪 Kweli tumekula chumvi nyingi 🤗 Click to expand... Dah Jamaa wa 40-50 ana jiita mzee wa 70🤣😂😁
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,371 Grahams said: Kwasasa nimezeeka Babu yenu maana hiyo picha ni ya mwaka 1967 Click to expand... Babu km babu Babu umbea unaniwasha mwenzio!!! Nisije kuongea kitu bure
Grahams said: Kwasasa nimezeeka Babu yenu maana hiyo picha ni ya mwaka 1967 Click to expand... Babu km babu Babu umbea unaniwasha mwenzio!!! Nisije kuongea kitu bure
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,372 Manyanza said: Daah Click to expand... Wee endelea
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,490 Reaction score 96,959 Aug 24, 2023 #371,373 Grahams said: Kwasasa nimezeeka Babu yenu maana hiyo picha ni ya mwaka 1967 🤪 Click to expand... Kulikuwa na selfie au sio🤣😂😁, 👉👉👉camera ilikuwa Ina Uwezo wa ku catch object na back ground ehh😂🤣🏃🏃🏃
Grahams said: Kwasasa nimezeeka Babu yenu maana hiyo picha ni ya mwaka 1967 🤪 Click to expand... Kulikuwa na selfie au sio🤣😂😁, 👉👉👉camera ilikuwa Ina Uwezo wa ku catch object na back ground ehh😂🤣🏃🏃🏃
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,490 Reaction score 96,959 Aug 24, 2023 #371,374 Cute Wife said: Vipi kwanza wifi alirudi au ndo kakubwaga mazima?? Click to expand... Ali Rudi🤗, na hatu jawahi achana🤣😂
Cute Wife said: Vipi kwanza wifi alirudi au ndo kakubwaga mazima?? Click to expand... Ali Rudi🤗, na hatu jawahi achana🤣😂
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,375 Intelligent businessman said: Ali Rudi, na hatu jawahi achana Click to expand... Ndiomana una jeuri kumbe?!!! Ngoja nimwambie akupige chini uteseke Ms eyes huyu achana nae atakuzeesha maokoto hana
Intelligent businessman said: Ali Rudi, na hatu jawahi achana Click to expand... Ndiomana una jeuri kumbe?!!! Ngoja nimwambie akupige chini uteseke Ms eyes huyu achana nae atakuzeesha maokoto hana
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Aug 24, 2023 #371,376 Cute Wife said: Ha ha habari ndo hiyoooo Click to expand...
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Aug 24, 2023 #371,377 Cute Wife said: babuu katishaaa!!! Na jf yote yake ndiomana anagawa ajira km njugu dadeq Click to expand... Ajira woyeeeee!!! Watu na Ajira zao mjiniii. Woiiiiiiih
Cute Wife said: babuu katishaaa!!! Na jf yote yake ndiomana anagawa ajira km njugu dadeq Click to expand... Ajira woyeeeee!!! Watu na Ajira zao mjiniii. Woiiiiiiih
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Aug 24, 2023 #371,378 Cute Wife said: Babu mwenzio niko katoro huku hata daslama sijui inafananiaje ndo nitaweza kukuvusha barabara kweli?? Labda nikuitie cocastic na Antonnia wao ndo wanakaa town babu yangu Click to expand... Kwa kweli, bora waje wanisaidie Babu yao kuvuka barabara Maana kwa Uzee huu hata kuona magari wakati wa kuvuka inakuwa shida 🤪
Cute Wife said: Babu mwenzio niko katoro huku hata daslama sijui inafananiaje ndo nitaweza kukuvusha barabara kweli?? Labda nikuitie cocastic na Antonnia wao ndo wanakaa town babu yangu Click to expand... Kwa kweli, bora waje wanisaidie Babu yao kuvuka barabara Maana kwa Uzee huu hata kuona magari wakati wa kuvuka inakuwa shida 🤪
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Aug 24, 2023 #371,379 cocastic said: Ajira woyeeeee!!! Watu na Ajira zao mjiniii. Woiiiiiiih Click to expand... Woyeeeee!!! Babu safiiiii?????
cocastic said: Ajira woyeeeee!!! Watu na Ajira zao mjiniii. Woiiiiiiih Click to expand... Woyeeeee!!! Babu safiiiii?????
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Aug 24, 2023 #371,380 Cute Wife said: Babu mwenzio niko katoro huku hata daslama sijui inafananiaje ndo nitaweza kukuvusha barabara kweli?? Labda nikuitie cocastic na Antonnia wao ndo wanakaa town babu yangu Click to expand... Niko Linguse nguse huku, hata barabara hatuijui, tunatumia njia ya vichochoro ilojaa umande tupu. Town wapiii nakokujua mie? Songea town enyewe had nikiumwa ndo niende pale mkoani.
Cute Wife said: Babu mwenzio niko katoro huku hata daslama sijui inafananiaje ndo nitaweza kukuvusha barabara kweli?? Labda nikuitie cocastic na Antonnia wao ndo wanakaa town babu yangu Click to expand... Niko Linguse nguse huku, hata barabara hatuijui, tunatumia njia ya vichochoro ilojaa umande tupu. Town wapiii nakokujua mie? Songea town enyewe had nikiumwa ndo niende pale mkoani.