Sisi Ni familia, ila wide SI alikuambia punguza umbea na vijembe[emoji850][emoji848]
Aogee atakatee?? Kwani wee hujui anaoga kwenye jacuzzi na bath tube? [emoji23][emoji23][emoji23]We sema kweli?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie babuu bas itabidi aje kwangu tu ila kwanza aoge atakate [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweliiiii?Babu Grahams mbona msafi hana baya [emoji7][emoji7][emoji7]
Shida kwa muhasisi wa TANU mchafu mbuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ongezaaaa sautiiii, nakaziaaaaaKwani natumia wa mtu Mxxiewwww!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natumia wa kwangu na kazi yake ni hiyo tyuuu!!
Tena nachagua wa kumpatia, muda gani na lini[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Kikubwa akidhi vigezo vyangu!!!!
Hata kama ni mtandaoni na hatukujui jaribu kuwa na maandishi yenye stahaMwambie kwanza ajitahidi anitie mimba ya twins nishinde nakula embe mbichi na juice ya ukwaju [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna miezi 4 hata mimba hakuna sa ndio nini??[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Aogee atakatee?? Kwani wee hujui anaoga kwenye jacuzzi na bath tube? [emoji23][emoji23][emoji23]
Una utani na babuu wee.
Bro uswahili wa hii thread waachie tu.H
Hata kama ni mtandaoni na hatukujui jaribu kuwa na maandishi yenye staha
H
Hata kama ni mtandaoni na hatukujui jaribu kuwa na maandishi yenye staha
Generation ya 20's ni ngumu mnooooBro uswahili wa hii thread waachie tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humjui babuu vizurii wee,Thubutuuuuu!!! Labda mtoni jaccuz ya nyookooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu tumpe wizo amuoe ndo wataenda sawa
Ongezaaaa sautiiii, nakaziaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro uswahili wa hii thread waachie tu.
Shida sio generation, ni style na haiba ya mtu.Generation ya 20's ni ngumu mnoooo
Nakujua mswahili, Kwenye familia nzima wewe na Bibi yako ni 🔥🔥.Pacha wee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwambie sie ndo kijiwe nongwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humjui babuu vizurii wee,
Mwenzako TZ yote yake, afu unasema midoshooo.
Wee huogopiiii??
Bonge moja la moovie, udownload yenye English subtitles.Umenishitua nitaicheki jioni leo
Ngoja niipakue hapa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jipigie makofi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakujua mswahili, Kwenye familia nzima wewe na Bibi yako ni [emoji91][emoji91].
[emoji117]Umbea na nongwa ya mdomo[emoji16][emoji1787]