Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Uza nyumba ya kibaha umbebe๐คฃ๐Ngoja nikupindue tu
Kisu chako hakina makali
Visu Kama hivi havihitaji porojo porojo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo shem wangu, mbna hatarii sasa.Hayakuhusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe mtafute shem wako umtumie
Duh!Nilikuwa kama jini kisirani kijora chin hakipo juu hakipo๐๐๐
๐ ๐ ๐ ๐ utanipa majina ya unaotaka waje, nipitishe lokooo.. ili nijue yupi waku mkata na yupi ale mpungaaa.. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ nakuwa kama mjumbe.. huyu kata huyu acha..Ninmpango niwaalike Dec mje mle mpunga nione puazenu na rangi zenu za choroko๐๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bas ukikaa vibayaa jinsi anavyokupa intro, unaweza sema nshatusua vile.
Mie nilikua namchora tyuuh, hata wazo sikua nalo.
Uduguuu taratibu nawee.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ menstruation period anakuwa na kisiraniKafie pm wewe๐๐คฃ
๐๐ Hauuwepo ulikuwa na storyzako tu ila nilishtuka kutaja sehemu niliyokuwa nipo muda huo nikawa nageuka Kwa pause๐๐๐nisije kuta mambo shwaa kumbe ilikuwa story tu nikaendelea na yangu๐๐๐ ๐ ๐ ๐ ๐ utaenda kutununulia itakuwaje wageni waje alafu walale njaaa... ila siku ile kwanini hukuniambia nipo.... tule hata soda hadi asubuhiii.. nitakutumia picha uone kama ni wewe au sioo.. uone nguvu ya mafile
๐ ๐ ๐ ๐ aje athibitishe Ms eyesLipo lime andikwa kwa wino wa Moto ๐คฃ๐๐
Niko town weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaa wa washua afu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anaweza kuigiza utajiri, plus masifa ya kuzaliwa nao. Na ulimbukeni alokua nao.Hao ndio km wale wanaotangaza kazi afu ukienda unapewa vyombo ukasambaze mtaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasikia kazi zenyewe hana wala nenee ni kutafuta kiki tu aonekane pedezyeee kumbe apeche alolo km cute [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ unataka nije kuku suprise tena nasimama nyuma yako alafu naita jina lako la JF..๐๐ Hauuwepo ulikuwa na storyzako tu ila nilishtuka kutaja sehemu niliyokuwa nipo muda huo nikawa nageuka Kwa pause๐๐๐nisije kuta mambo shwaa kumbe ilikuwa story tu nikaendelea na yangu๐๐
Yeye target yake n wanaume tyuuh, na amewaliza kwa kweliii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jamaa alitaka kumvua 300k, ila aliambulia 60k, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipi A au B??Hongera [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzio naishi Gomz huku ulongoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitazimia๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ ๐ unataka nije kuku suprise tena nasimama nyuma yako alafu naita jina lako la JF..
Naam bora nifilisike tu aenjoy tu mremboUza nyumba ya kibaha umbebe๐คฃ๐
Tutakukupea tu hakuna namnaaa ๐ ๐ ๐Nitazimia๐๐๐
Serious unauza vijora mchuchu.
Naeza toka speed ya chuma Cha mjerumani๐๐คฃ๐คฃ.๐ ๐ ๐ ๐ ๐ unataka nije kuku suprise tena nasimama nyuma yako alafu naita jina lako la JF..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimestaafu utapelii wa mitandaonii.Ila wanaume wa jf ni mabwege kumbe?? Yaani wanapigwa kizembe hivyo?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja na me nianze kuwaibia mana wasumbufu