Selfika na JF: Snap it. Show it

Ishafutwa now, ila ilikuwepo na wengi wamelizwa.
Had wajanja wa JF waliliwa buku 2 ya vocha.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuriii.
Heee

Akiyanani
Bora sikuona

Ningepigwa

Nikawaza kidney si figo
Ni I'd gani?nikawa sipati jibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bas ukikaa vibayaa jinsi anavyokupa intro, unaweza sema nshatusua vile.

Mie nilikua namchora tyuuh, hata wazo sikua nalo.
Uduguuu taratibu nawee.
 
Mapdf ya mchongo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€nishahama huko mbona sikunying
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… sawa nitakupata tu.... kamuulize .... mtu flani hakuamini nilianza muambia hadi kwao wapo wangapi.. na ABC.. unachezea kibuyu .. Kuna mahala ningekutajia ila basi eeeh.. au niseme wana JF waje kula ubeche
 
Heee

Akiyanani
Bora sikuona

Ningepigwa

Nikawaza kidney si figo
Ni I'd gani?nikawa sipati jibu
Yeye target yake n wanaume tyuuh, na amewaliza kwa kweliii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jamaa alitaka kumvua 300k, ila aliambulia 60k, woiiiiiih
 
Wee sema kweli?? Wapi huko umeniona?? Muhonda street?? Au Nyamwezi na Msikiti?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Njoo uniungishe kijora cha wifi basi jomoooni mchuchu
Serious unauza vijora mchuchu.
 
Wee sema kweli?? Wapi huko umeniona?? Muhonda street?? Au Nyamwezi na Msikiti?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Njoo uniungishe kijora cha wifi basi jomoooni mchuchu
Nimekuona mtaa wa likoma, sikutaka kukustua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee mahabhubha, mwisho wa mwezi ndo huu, na nasikia mshahara kesho unatoka.

Sasa jizime dataa, usishau maokotoo yangu, afu shem wako vipi ashakupaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hayakuhusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe mtafute shem wako umtumie
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… sawa nitakupata tu.... kamuulize .... mtu flani hakuamini nilianza muambia hadi kwao wapo wangapi.. na ABC.. unachezea kibuyu .. Kuna mahala ningekutajia ila basi eeeh.. au niseme wana JF waje kula ubeche
Ninmpango niwaalike Dec mje mle mpunga nione puazenu na rangi zenu za choroko๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Sijalima mpunga
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… utaenda kutununulia itakuwaje wageni waje alafu walale njaaa... ila siku ile kwanini hukuniambia nipo.... tule hata soda hadi asubuhiii.. nitakutumia picha uone kama ni wewe au sioo.. uone nguvu ya mafile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ