Wewe huyooo usielewee !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie hata sikuelewaa, mwenzenu naanza kuzeeka sasa, mie sio wa kushindwa na codes lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiiihWewe utaumwaga huku unacheka watu watachukulia utani, huu mdude apewe mwamba wa Kaskazini awasuuze vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππJamani na jua hili linavowakaAaliyah unacheka nini?? Nasikia watu wanashinda kkoo wanapita kila duka na pic yangu kunikagua khaaaaaa!!! Jf kuna vituko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie mie ndiye yule mama Siha aliyekua anaongea na Waziri mkuu hata msijichoshe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba tuongozanee.
Nakaaje jobless, na ajira zipo za kushatoo humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Rubani kapotelea wapiii?@@Post M-alone njoo uchukue Coca ake
Wewe huyooo usielewee !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie hata sikuelewaa, mwenzenu naanza kuzeeka sasa, mie sio wa kushindwa na codes lol
Niko nyakiboooo kwetuu, tatizo babuuz watoa ajira wako wengi, sikujua mna refer yupiii??Wewe huyooo usielewee !!!
Weee kwanza uko Dar au Nyakiboo yakwenu huko [emoji4]???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiiih
Kumekuchaa sasa, khaaaah
Yeye mwenyewe sijui kama ana habari kama anaumwa
Ajira Gani Tena majobless tupo hukuUkipigwa pic ikirushwa huku usinune na ajira hupati mpk utumike kwa babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeee, atanikula nikisha sign mkataba, na salary ya 6months nikishatafuna.Ukipigwa pic ikirushwa huku usinune na ajira hupati mpk utumike kwa babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inaitwa kichaa kapewa rungu
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani na jua hili linavowaka
Hahah kuna mambo kwakweli labda wanatania tu πJoto kwanza lilivyo kali sijui hawaingui?? Waje mtaa uliofungwa feni mpk kwa wapita njia ndio hapo hapo watanikuta nawasubiri tufanye biashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waseme niwaandalie nini?
Ooh kumbe ni yale mambo ya hovyo![emoji1787][emoji1787][emoji1787] mke mwenza ulifichwa wapi??
Hakuna lolote la kutisha ni shilawadu tu walikua wanatupa wanaume na magonjwa sugu ili kufurahisha nafsi zao
Ajira Gani Tena majobless tupo huku
πππAya bhanaAjira nyingi hujaamua tu kufatilia kwa umakini humu
HujamboMiss you more jirani, uje ututembelee tumevuna machungwa
Huyo mtu akili zake ameweka rehaniNimeskia Kuna mrembo alituma selfie zake then mtu akachukua akamtumia mtu mwingine pm huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeee, atanikula nikisha sign mkataba, na salary ya 6months nikishatafuna.
Sitapeliwi kizembee.