Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mambo haya nimewaachia, kuna wapuuzi wengi humu wasio weza ku reason. Ukija mahakani nakutupa dk ya 0.. nina screenshot za kutosha ( folder zima ). Ukicheza na fisi unaonekana na wewe fisi ujue
Mjomba achana nao code zishafunguka mchawi kashajulikana tunacheka nae tu hapahapa anatuchora tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunza folder hizo nywea maji maisha yaendelee
 
Mjomba achana nao code zishafunguka mchawi kashajulikana tunacheka nae tu hapahapa anatuchora tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunza folder hizo nywea maji maisha yaendelee
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Naenda kuzi print, alafu nampa mtu wa chakula afungie vitumbua na mihogo.. Imeisha hiyo tuendelee kufurahi aunt.. maisha ni furahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…